Sasa hivi ukianzisha mahusiano na mwanamke jua amefuata kitu kwako

Usiharibu Uzi changia then waache watu wengine wachangie kuwa positive achana na tabia za kiswahili

Kuna watu wanajifunza hapa so sioni hayo mambo Kama yana Afya.
Vipi wale wanaojifunza lugha, si wote wapo darasani mkuu. Yaani tunajifunza kona zote mkuu, ikitokea narekebishwa, muhimu kukubali tu.
 
Hujalewa ukisikia kujenga au kumjenga MTU you all think about money , 😁 kidding.

PESA ni haiendeshi mahusiano Ila inaendesha Maisha ya kulipa bills zako.

Wanawake wakiswahili hawaelewi kuhusu kumjenga mwanaume ni swala la kuhakikisha Una Add value kwake ,kiakili ,kihisia ,kiimani.

Mnawaza pesa tu ambazo hamjui hata zimepatikanaje. Kid
Wewe ndio unadhani mimi sijaelewa, kimsingi naelewa sana unachozungumza.

Kumjenga mwanaume kivyovyote hakuna reward kaka mkubwa! Acha kudanganya mabinti…

Nimewaona faithfully-naive young girls wakitumia muda wao mwingi kuwalea wanaume kifikra, kiuchumi, kisaikolojia na bado mwisho wa siku wakaambulia “wewe sio type yangu” .

I was on a very good position ya kuwa comforter, you can’t easly lie to me. Nimefuta machozi ya wengi kaka. Sijajua kwanini ila wengi huniona mimi kama mtu nayeweza kuwasililiza wakiwa na majambo yao.
 
Maisha yanaenda kwa namba au hesabu .

Mwanamke anabidi kujua consistency ndo silaha yake kubwa linapokuja swala la mahusiano maaana umri wake upo calculated kuanzia kuolewa ,kuzaa, na kuwa na stable family

Hivyo mwanamke anapokuwa na mentality kuwa nahitaji kuchuma kitu kwa mwanaume that is too worst to her.

Maana ukiwa MTU wa kuchuma bila kupanda mazao yako huwezi kuwa na consistency na Kama hauna consistency means kuna MUDA utakwama TU.

Hit run ina faida chache Ila hasara kubwa kwa mwanmke .

So maisha ni hesabu , mwanamke anachobidi kufanya ni kuwekeza kwa mwanaume katika kumjenga mwanaume na baadae atajipata kirahisi.

Unfortunately wan awake wakibongo most of them , hawana knowledge and skills za kuishi maisha yenye positivity that is way most of them they end up being broke,depressed,single mothers ,prostitute and etc.
NAKAZIA
 
Wewe ndio unadhani mimi sijaelewa, kimsingi naelewa sana unachozungumza.

Kumjenga mwanaume kivyovyote hakuna reward kaka mkubwa! Acha kudanganya mabinti…

Nimewaona faithfully-naive young girls wakitumia muda wao mwingi kuwalea wanaume kifikra, kiuchumi, kisaikolojia na bado mwisho wa siku wakaambulia “wewe sio type yangu” .

I was on a very good position ya kuwa comforter, you can’t easly lie to me. Nimefuta machozi ya wengi kaka. Sijajua kwanini ila wengi huniona mimi kama mtu nayeweza kuwasililiza wakiwa na majambo yao.

Ukifanya mambo with bad conscience , lazima uambulie maumivu

Hao wanaolia na kulalamika ukiwafatilia wengi sio value women

😁mwanaume hawezi kumuacha value woman kivyovyote

Waambie waongeze thamani wafanye self-investment

The game is tough la sivyo wataishia kuwa singo maza, depressed ,and heart fainted

Wanaume sahihi wapo Ila wanawake sahihi wapo wachache Sana.

Hawa wanawake akili ndogo wanawezaje kuwekeza kwa mwanume aliyakuwa wao hawajielewi.

Kumpa MTU chakula ,na kumlipia bills ni mambo madogo Sana.
 
Wachaaaa! Your ego speaks louder! Wakati hao wanawake hawakuwa na consistency wanaume wao ni malaika Gabriel sio? Au ni ndugu wa yesu? Hawana makosa wala dhambi 🤣

Kwakusema hivyo basi; tuhitimishe kuwa kila mtu ajengwe kwao watu wakutane juu. Ndio umekuwa ushauri wangu kwa mabinti siku zote, and its fair sababu ina minimize risk kwa pande zote.

Halafu? Kuishia kuwa single mother nao ni ugonjwa? Unavyoisema as if ile adhabu ya kwenye biblia “Ziwa la moto”, Single mother ni matokeo tu ambayo eventually watayakubali. Sioni kama ni kitu chakukaa kuwatishia wenzenu. Mitaani nawaona wanastruggle kulea watoto lakini the end is worthy the struggle. And again, wanawake wote wataend up kuwa broke and heart fainted (sijui maana yake) ?? Seriously? 😂
 
Huwezi kufanikiwa katika jambo lolote ukiwa Unataka kuwa benefited kupitia nguvu za MTU mwingine.

Mnabidi kujua life is an ECHO
Be a good finder mnapambana kuharibu MAISHA ya wanaume then mwisho wa picha mnaharibika nyie wenyewe.

Don't be opportunistic maumivu yenu mnajipatia wenyewe.

Let love lead.

Ila Kama hauna Good conscience mtaendelea kuumizwa na mapenzi the all days long.

Hampo enlightenment mnatazama Ila hamuoni .

Hivi ni nani ataoa kwa ajili ya ngono tu ,mnachuna, mnadanga,mnahongwa,mnadhurumu ,lakini maisha yenu hayabadiliki

Mjitafakari mjue Kama hamna value ya kuongeza kwa WATU mtaendelea kuchezewa na kutumika Sana.
 
Hayo ni mawazo yako ambayo sio lazima yawe na uhalisia, umeyang’ang’ania as if unamiliki destiny za watu.

Watakie heri wanawake na uache kuwadanganya ati wajimalize hivyo kwa wanaume, Mwishoni kunaweza kusiwe na reward ya msingi, so why the bet? Kuna vya msingi vya kufanya. Unapotoa ushauri wa mahusiano acha kujipa favour na kuvutia kila jema kwako, au kwenu hakuna mabinti? Acha ulaghai bana.

Yangu yalikuwa hayo kwa leo, good night/morning/afternoon.
 
😁😁😁

Reward means what ? Hakuna juhudi huwa inapotea

Lengo ni kuweka usawa kila MTU apate kilicho bora .

Mahusiano sio sehemu ya kujipatia FAIDA ila ni sehemu ya kutengeneza stability katika dark zone na Katika comfort zone.

Mnabidi mjue destiny zenu ,na kila kitu chenu kitakuwa na mwelekeo mzuri endapo mkaacha kujitafutia FAIDA

Ebu Angelia thamani yenu ilivyoshuka Sana now days.? Unaweza kujua tatizo ni nini?.
 
Thamani yetu imeshuka? Absolutely myopic opinion….. kwa angle ipi? kwa mujibu wa nani? Au ndivyo unavyojisikia wewe?

Kama unamaanisha kwenye mapenzi/mahusiano na ndoa thamani ya mwanamke imeshuka, bado hauko sahihi kwasababu ni wazi utakuwa unachanganya kati ya thamani ya mwanamke kushuka na thamani ya mapenzi yenyewe kushuka jambo ambalo lina sababishwa na sababu nyingi sana ambazo tukianza kuzijadili tutajaza kurasa humu. Vitu vingine vinaamulia na nyakati, kitu ambacho kinaamua mabadiliko katika kila nyanja ya mwanadamu.

Wewe unaweza kunielezea ni kivipi thamani ya mwanamke imeshuka?

Katika kuleta usawa wa mahusiano unamaanisha nini? Wakati ni wazi kuwa role ya mwanamke na mwanamke kwenye mahusiano ziko tofauti, na utofauti huo huleta kitu kimoja ambacho ndio hayo mahusiano yenyewe. Ambaye anaona hapati faida kwenye mahusiano yoyote atafakari kama hiyo sehemu ni sahihi, na hili somo liwekwe kwenye mtaala wa kuanzia form 2.
 
kuna kimoja kilitokewa. basi bwana baada ya siku kadhaa kikatuma meseji eti kitumiwe hela ya kula. sijui uko kabla kulikuwa kinakula mawe[emoji38]
 
Back
Top Bottom