Sasa hivi ukianzisha mahusiano na mwanamke jua amefuata kitu kwako

Sasa hivi ukianzisha mahusiano na mwanamke jua amefuata kitu kwako

mi nadhani ni Kutokana na mtu una jiweka wapi ?!.

Kuna Wanawake wako ahead, they think and act accordingly.
shida una kutana na kiswaswadu ana kutwanga, Kisha una kuja kulalama Kam ume meza Pini.

Uki kutana na mtu Mara ya kwanza, Jitahidi kumsoma hat kidogo.
Huwezi taka kichwa, kumbe ume kutana na kwato.
Kweli tupu,hujapindisha hata kidogo
 
Huwezi kuhongwa na mwanamke bila huyo mwanamke kuwa malaya katika level tofauti tofauti(mdangaji)

Utasema wa kishua mademu wa kishua wapo vizuri kichwani hawawezi kudate na broken people wenye mawazo mgando kama wewe
Huna tofauti na aina ya mahusiano aliyoeleza jamaa isipokuwa wewe umekuwa ni mwanaume
Ila jamaa amwmzungumzia mwanamke
Wewe kweli mzimu.
Aliekwambia kua wa kishua ni hatimiliki ya kua na akili ni nani??

Kama huhongwi, basi jua huwavutii na huna cha kuoffer, hujui kuwin hisia zao. Wapo wanaojua na wanapewa mpunga mrefu tu.

Yaani ukijiona wewe kila mwanamke unaepata anachotaka kwako ni pesa tu nothing else, jitathmini.

Ni eidha unadate na waliokuzidi akili, au huna swagg za kuwavutia zaidi ya hizo pesa tu.
 
In every wall has a door

Cheer up , GOD is GOOD all the time

Unapenda kukosoa Sana , unataka kila kitu kiwe vile unataka that is impossible mr.

You need to focus to improve ur self .

I was been there , berofe damn
Uswahili mbaya Sana kill ur EGO
Uyo kijana currently amekuja kuaje sijui, like anataka kuleft group.
 
Yaani mitaani tunaona hakuna stori nyingine zaidi ya maokoto.

Siku hizi wanawake ndo Wana hit na ku run Ndo maana hata ukitangaza kumpenda mtu mtaani swali la kwanza utaulizwa ni UNA HELA?
Mkuu bado uko kutafuta mawasiliano!!?
Yani huna family..
That u have to raise and mould ur way!!!?
 
Huwezi kuhongwa na mwanamke bila huyo mwanamke kuwa malaya katika level tofauti tofauti(mdangaji)

Utasema wa kishua mademu wa kishua wapo vizuri kichwani hawawezi kudate na broken people wenye mawazo mgando kama wewe
Huna tofauti na aina ya mahusiano aliyoeleza jamaa isipokuwa wewe umekuwa ni mwanaume
Ila jamaa amwmzungumzia mwanamke
Hayanaga fomula
 
Pole mno bloangu,wengine msingi wa kuishi mjini ni viuno.

Wewe unayetanguliza hela zako unafeli wapi?
 
Yaani mitaani tunaona hakuna stori nyingine zaidi ya maokoto.

Siku hizi wanawake ndo Wana hit na ku run Ndo maana hata ukitangaza kumpenda mtu mtaani swali la kwanza utaulizwa ni UNA HELA?
Siku hizi hakuna haja ya kupenda, utapoteza tu pesa zako.
Wanawake wa kununua wamekuwa wengi tu, unanunua, unapiga na kusepa.
 
Maisha yanaenda kwa namba au hesabu .

Mwanamke anabidi kujua consistency ndo silaha yake kubwa linapokuja swala la mahusiano maaana umri wake upo calculated kuanzia kuolewa ,kuzaa, na kuwa na stable family

Hivyo mwanamke anapokuwa na mentality kuwa nahitaji kuchuma kitu kwa mwanaume that is too worst to her.

Maana ukiwa MTU wa kuchuma bila kupanda mazao yako huwezi kuwa na consistency na Kama hauna consistency means kuna MUDA utakwama TU.

Hit run ina faida chache Ila hasara kubwa kwa mwanmke .

So maisha ni hesabu , Mwanamke anachobidi kufanya ni kuwekeza kwa mwanaume katika kumjenga mwanaume na baadae atajipata kirahisi.

Unfortunately wan awake wakibongo most of them , hawana knowledge and skills za kuishi maisha yenye positivity that is way most of them they end up being broke,depressed,single mothers ,prostitute and etc.
Mwanamke amjenge mwanaume? Ili apate zawadi gani?

Wakati huo mwanaume anafanya nini kwa mwanamke???

Hivi mna wadogo zenu wa kike labda ushauri huu muwape halafu baada ya miaka kadhaa waje wawalilie labda mtaelewa kuwa kuna muda mwanaume hafai kutoa ushauri kwa mwanamke kwasababu hajui changamoto za mahusiano za mwanamke.

Come on y’all! Kila mtu ajengwe kwao, wawili wakikutana wameshajijenga waanze mahusiano. PERIOD!
 
Mwanamke amjenge mwanaume? Ili apate zawadi gani?

Wakati huo mwanaume anafanya nini kwa mwanamke???

Hivi mna wadogo zenu wa kike labda ushauri huu muwape halafu baada ya miaka kadhaa waje wawalilie labda mtaelewa kuna kuna muda mwanaume hafai kutoa ushauri kwa mwanamke kwasababu hajui changamoto za mahusiano za mwanamke.

Come on y’all! Kila mtu ajengwe kwao, wawili wakikutana wameshajijenga waanze mahusiano. PERIOD!

Hujalewa ukisikia kujenga au kumjenga MTU you all think about money , 😁 kidding.

PESA ni haiendeshi mahusiano Ila inaendesha Maisha ya kulipa bills zako.

Wanawake wakiswahili hawaelewi kuhusu kumjenga mwanaume ni swala la kuhakikisha Una Add value kwake ,kiakili ,kihisia ,kiimani.

Mnawaza pesa tu ambazo hamjui hata zimepatikanaje. Kid
 
Back
Top Bottom