Sasa hivi ukianzisha mahusiano na mwanamke jua amefuata kitu kwako

Kweli tupu,hujapindisha hata kidogo
 
Wewe kweli mzimu.
Aliekwambia kua wa kishua ni hatimiliki ya kua na akili ni nani??

Kama huhongwi, basi jua huwavutii na huna cha kuoffer, hujui kuwin hisia zao. Wapo wanaojua na wanapewa mpunga mrefu tu.

Yaani ukijiona wewe kila mwanamke unaepata anachotaka kwako ni pesa tu nothing else, jitathmini.

Ni eidha unadate na waliokuzidi akili, au huna swagg za kuwavutia zaidi ya hizo pesa tu.
 
In every wall has a door

Cheer up , GOD is GOOD all the time

Unapenda kukosoa Sana , unataka kila kitu kiwe vile unataka that is impossible mr.

You need to focus to improve ur self .

I was been there , berofe damn
Uswahili mbaya Sana kill ur EGO
Uyo kijana currently amekuja kuaje sijui, like anataka kuleft group.
 
Yaani mitaani tunaona hakuna stori nyingine zaidi ya maokoto.

Siku hizi wanawake ndo Wana hit na ku run Ndo maana hata ukitangaza kumpenda mtu mtaani swali la kwanza utaulizwa ni UNA HELA?
Mkuu bado uko kutafuta mawasiliano!!?
Yani huna family..
That u have to raise and mould ur way!!!?
 
Hayanaga fomula
 
Pole mno bloangu,wengine msingi wa kuishi mjini ni viuno.

Wewe unayetanguliza hela zako unafeli wapi?
 
Yaani mitaani tunaona hakuna stori nyingine zaidi ya maokoto.

Siku hizi wanawake ndo Wana hit na ku run Ndo maana hata ukitangaza kumpenda mtu mtaani swali la kwanza utaulizwa ni UNA HELA?
Siku hizi hakuna haja ya kupenda, utapoteza tu pesa zako.
Wanawake wa kununua wamekuwa wengi tu, unanunua, unapiga na kusepa.
 
Mwanamke amjenge mwanaume? Ili apate zawadi gani?

Wakati huo mwanaume anafanya nini kwa mwanamke???

Hivi mna wadogo zenu wa kike labda ushauri huu muwape halafu baada ya miaka kadhaa waje wawalilie labda mtaelewa kuwa kuna muda mwanaume hafai kutoa ushauri kwa mwanamke kwasababu hajui changamoto za mahusiano za mwanamke.

Come on y’all! Kila mtu ajengwe kwao, wawili wakikutana wameshajijenga waanze mahusiano. PERIOD!
 

Hujalewa ukisikia kujenga au kumjenga MTU you all think about money , 😁 kidding.

PESA ni haiendeshi mahusiano Ila inaendesha Maisha ya kulipa bills zako.

Wanawake wakiswahili hawaelewi kuhusu kumjenga mwanaume ni swala la kuhakikisha Una Add value kwake ,kiakili ,kihisia ,kiimani.


Mnawaza pesa tu ambazo hamjui hata zimepatikanaje. Kid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…