Sasa hivi watu wanavaa uniform za kazini mitaani

Sasa hivi watu wanavaa uniform za kazini mitaani

Jirani yangu anafanyia Lugalo anatoka na gwanda zake anaenda kuvalia kazini!

Yaani mimi ningekuwa yeye ningevalia hukuhuku mtaani ili nisilipe nauli😂
Wewe huo muda wa kumchunguza jirani yako unautoa wapi?! Kafanye kazi
 
Ni polisi tu ndio wanaogopa kuvaa sare zao uraiani kwa uovu wao.
 
Back
Top Bottom