Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Wewe huo muda wa kumchunguza jirani yako unautoa wapi?! Kafanye kaziJirani yangu anafanyia Lugalo anatoka na gwanda zake anaenda kuvalia kazini!
Yaani mimi ningekuwa yeye ningevalia hukuhuku mtaani ili nisilipe nauli😂
Huku nilipo ni Saa 5 usiku.Najiandaa kwenda kulala.Vaa uniform kumekucha
UsikaririUsisahau kuvua uniform usilale nayo
Kitana siku hizi siyo mvuvi. Teh nimsafrishaji wa majini!!Mkuuu Hamia kwa Kitana njiwa pori miyeyusho. Karibu mitaa yetu hapa Kayenze na huko Igombe wape Hi washkaji akina White!
Daaaah Maisha yanaenda haraka sana, vip Ghorofa lake pale Kirumba mwaloni mbona kama haliendelei kunaniKitana siku hizi siyo mvuvi. Teh nimsafrishaji wa majini!!