naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Jema lipo haya NI makundi mawili tufauti tuliokuwa tunalalamika tunafurahi na waliokuwa wanafurahi wanalalamikaHatuna jema kabisa yani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jema lipo haya NI makundi mawili tufauti tuliokuwa tunalalamika tunafurahi na waliokuwa wanafurahi wanalalamikaHatuna jema kabisa yani!
Hakuna mkulima mwenye mchele wa kuuza zaidi ya mchele wa akiba ya chakula.Ninavyowajua Watanzania wanapenda vitu vya bei rahisi Bila kuzingatia ubora
Hiyo michele iliyofichwa na Wakulima soon inaenda kuwadodea
Bashe ajipime kama anatosha!
Mkuu, aliyetoa kibali ni Rais kupitia kwa waziri wa viwanda na biashara.Bashe hatoi vibali vya biashara,kundi la matapeli ndio wamefanya hivyo..
Wakulima walivyo wajinga ndio wapiga kura na Bado watachagua wabunge wale wale wajinga kama kina Ashatu Kijaji
Wabongo tuna tabu sana. Maana hata hatujui tunataka nini hasa...
Mchele ukipanda bei tunalalamika, na ukishuka bei tunalalamika...
hawa ng'ombe hawastahili kuonewa huruma,serikali ilitaka kuleta bima ya afya kwa wote,wapumbavu wakaanza kukosoa aiseeWabongo tuna tabu sana. Maana hata hatujui tunataka nini hasa...
Mchele ukipanda bei tunalalamika, na ukishuka bei tunalalamika...
kwahiyo we mbbuzi bora wananchi tununue mchele kg kwa Tsh 5000?Bashe hatoi vibali vya biashara,kundi la matapeli ndio wamefanya hivyo..
Wakulima walivyo wajinga ndio wapiga kura na Bado watachagua wabunge wale wale wajinga kama kina Ashatu Kijaji
Hahaha.......!Mkuu, aliyetoa kibali ni Rais kupitia kwa waziri wa viwanda na biashara.
Sasa huyo tapeli unaemsema wewe ni nani??
Wanaotuelewa wapo kaziniUkitaka kumuelewa mbongo hutofanya kazi?
Kuanzia leo sisomi uzi wala mchango wako tena. Hujui unachotaka wewe. Kila kitu kulalamika, sijui unataka nini. Juzi tu umelalamika mchele bei juu sana. Zinatengenezwa strategies za kustabilize price, unaanza kulalamika tena. Hovyo sana wewe mtu.Wewe ndio huelewi
Bashe kashindwa kutengeneza Win Win situation kwa mkulima na Mlaji
Kuanzia leo sisomi uzi wala mchango wako tena. Hujui unachotaka wewe. Kila kitu kulalamika, sijui unataka nini. Juzi tu umelalamika mchele bei juu sana. Zinatengenezwa strategies za kustabilize price, unaanza kulalamika tena. Hovyo sana wewe mtu.Ninavyowajua Watanzania wanapenda vitu vya bei rahisi Bila kuzingatia ubora
Hiyo michele iliyofichwa na Wakulima soon inaenda kuwadodea
Bashe ajipime kama anatosha!
Umefura!Kuanzia leo sisomi uzi wala mchango wako tena. Hujui unachotaka wewe. Kila kitu kulalamika, sijui unataka nini. Juzi tu umelalamika mchele bei juu sana. Zinatengenezwa strategies za kustabilize price, unaanza kulalamika tena. Hovyo sana wewe mtu.
Usipanic!Wabongo hamueleweki mnataka nini,mchele ukipanda bei mnalalamika mchele pia ukishuka bei mnalalamika hamjielewi mnataka nini,lakini nina mashaka itakuwa wewe ndio katika wale madalali mnaoficha mchele ili mpate faida mara tano.
Mimi nakuuliza wewe!Ndio umuulize Bashe!
Na mimi nimemwambia Bashe anashindwaje kutengeneza Win Win situation kwa mkulima na Mlaji!!Mimi nakuuliza wewe!
Wewe ni mfanya Biashara ndo maana unatetea hili. Unanunua mazao toka kwa wakulima na unaenda kuyauza nje na kupata faida kubwa. Ndo maana unalalamika hapa.Bashe hatoi vibali vya biashara, kundi la matapeli ndio wamefanya hivyo..
Wakulima walivyo wajinga ndio wapiga kura na Bado watachagua wabunge wale wale wajinga kama kina Ashatu Kijaji