Sasa huyu Bashe kamsaidia mkulima au kamuangamiza? Huu mchele wa Ruzuku unaweza kuuzwa 1,500/- kwa kilo

Ninavyowajua Watanzania wanapenda vitu vya bei rahisi Bila kuzingatia ubora

Hiyo michele iliyofichwa na Wakulima soon inaenda kuwadodea

Bashe ajipime kama anatosha!
Hakuna mkulima mwenye mchele wa kuuza zaidi ya mchele wa akiba ya chakula.
Mchele wote tayari upo mikononi mwa wafanya biashara, na walio pandisha bei ya mchele ni wafanya biashara sio wakulima.
 
Bashe hatoi vibali vya biashara,kundi la matapeli ndio wamefanya hivyo..

Wakulima walivyo wajinga ndio wapiga kura na Bado watachagua wabunge wale wale wajinga kama kina Ashatu Kijaji
Mkuu, aliyetoa kibali ni Rais kupitia kwa waziri wa viwanda na biashara.
Sasa huyo tapeli unaemsema wewe ni nani??
 
Wabongo tuna tabu sana. Maana hata hatujui tunataka nini hasa...

Mchele ukipanda bei tunalalamika, na ukishuka bei tunalalamika...
hawa ng'ombe hawastahili kuonewa huruma,serikali ilitaka kuleta bima ya afya kwa wote,wapumbavu wakaanza kukosoa aisee
 
Bashe hatoi vibali vya biashara,kundi la matapeli ndio wamefanya hivyo..

Wakulima walivyo wajinga ndio wapiga kura na Bado watachagua wabunge wale wale wajinga kama kina Ashatu Kijaji
kwahiyo we mbbuzi bora wananchi tununue mchele kg kwa Tsh 5000?
 
Mleta mada alitakiwa awe mirembe tayari. Haiwezekani anatema mashudu namna hii
 
Wewe ndio huelewi

Bashe kashindwa kutengeneza Win Win situation kwa mkulima na Mlaji
Kuanzia leo sisomi uzi wala mchango wako tena. Hujui unachotaka wewe. Kila kitu kulalamika, sijui unataka nini. Juzi tu umelalamika mchele bei juu sana. Zinatengenezwa strategies za kustabilize price, unaanza kulalamika tena. Hovyo sana wewe mtu.
 
Ninavyowajua Watanzania wanapenda vitu vya bei rahisi Bila kuzingatia ubora

Hiyo michele iliyofichwa na Wakulima soon inaenda kuwadodea

Bashe ajipime kama anatosha!
Kuanzia leo sisomi uzi wala mchango wako tena. Hujui unachotaka wewe. Kila kitu kulalamika, sijui unataka nini. Juzi tu umelalamika mchele bei juu sana. Zinatengenezwa strategies za kustabilize price, unaanza kulalamika tena. Hovyo sana wewe mtu.
 
Kuanzia leo sisomi uzi wala mchango wako tena. Hujui unachotaka wewe. Kila kitu kulalamika, sijui unataka nini. Juzi tu umelalamika mchele bei juu sana. Zinatengenezwa strategies za kustabilize price, unaanza kulalamika tena. Hovyo sana wewe mtu.
Umefura!

Jukumu langu ni kuwaamsha viongozi wa CCM siyo unisome Wewe!
 
Wabongo hamueleweki mnataka nini,mchele ukipanda bei mnalalamika mchele pia ukishuka bei mnalalamika hamjielewi mnataka nini,lakini nina mashaka itakuwa wewe ndio katika wale madalali mnaoficha mchele ili mpate faida mara tano.
 
Usipanic!
 
Ujio wa Tundu Antipas Lissu umeleta angalau nafuu Kwa mwananchi.

Baada ya kuweka mezani HOJA ya vyakula kuwa juu akimnyooshea Rais kidole kuhusika, Rais ameruhusu chakula kiagizwe Kutoka nje.

Tupambanie KATIBA mpya, mamlaka ya Rais ni makubwa mno, yanamuelemea. KATIBA impunguzie.
 
Bashe hatoi vibali vya biashara, kundi la matapeli ndio wamefanya hivyo..

Wakulima walivyo wajinga ndio wapiga kura na Bado watachagua wabunge wale wale wajinga kama kina Ashatu Kijaji
Wewe ni mfanya Biashara ndo maana unatetea hili. Unanunua mazao toka kwa wakulima na unaenda kuyauza nje na kupata faida kubwa. Ndo maana unalalamika hapa.

Ukweli ni kwamba Sasa hivi wakulima ndo wahanga wakubwa wa hii njaa. Make hakuna mkulima anaetunza mazao yake Hadi mda huu
 
Back
Top Bottom