Inawezekana. Chanzo changu si chakuaminika sana.Uwongo mkubwa! Hiyo mikoa, kila mmoja una 1m+.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana. Chanzo changu si chakuaminika sana.Uwongo mkubwa! Hiyo mikoa, kila mmoja una 1m+.
Tantarira nyingi, mbona hukuiandika mara ya Kwanza ulipanga kumpotosha naniSifa moja ya mtu mjinga ni kutukana. Mjinga hana uwezo wa kujenga hoja. Wendawazimu/vichaa, jambo pekee ambalo wanaweza ni kutukana basi.
Ukiona unapenda kutukana, ni dalili ya wazi kuwa una tatizo la ugonjwa wa akili. Nenda hospitali, usaidiwe mapema.
Tanga, ni Kanda ya Kaskazini.
Nilipotosha kitu gani? Omissions inaweza kutokea kwa bahati mbaya. Ungeweza kusema kuwa nimepotosha kama ungeona hiyo Tanga labda nimeiweka Kanda ya Ziwa au Nyanda za juu Kusini au kwingineko kokote. Na hata ningekuwa nimeiweka kwenye Kanda ambayo siyo sahihi, bado ungeweza kueleza kama mtu mwenye utulivu wa akili, kwa kueleza wazi kuwa umekosea, mkoa huu haipo katika Kanda uliyoiweka, bali upo kwente kanda hii, kama wengi humu JF wanavyofanya.Tantarira nyingi, mbona hukuiandika mara ya Kwanza ulipanga kumpotosha nani
Bunda yote nusu ni wasukumaVyovyote itakavyokua wasukuma kwa namba wenzetu wako wengi na wao pekee wana mikoa mingi kabila moja Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Geita, Tabora utaona wamecover mikoa mitano peke yao halafu tuje wasukuma ambao wako Chunya., Ifakara, madibila, kigoma, Mpanda, Sumbawanga, Lindi, yaani huko wamefuata ardhi yenye rutba na ya bei rahisi hoja iko hivo
Kwa maana hiyo Mwenyekiti wa Mtaa upande wa Tanganyika ni Mbunge upande wa Zanzibar kwa kigezo Cha idadi ya watu au...???15m lakini majimbo ya uchaguzi hayafiki 40. Zanzibar wakaazi chini ya 2m wana majimbo ya uchaguzi 50.
Tunahitaji katiba itakayotibu haya maradhi.
Majimbo ya uchaguzi yapo 47 kwenye hiyo mikoa, wewe hiyo Pungufu ya 40 umeitoa wapi.15m lakini majimbo ya uchaguzi hayafiki 40. Zanzibar wakaazi chini ya 2m wana majimbo ya uchaguzi 50.
Tunahitaji katiba itakayotibu haya maradhi.
We jamaa, Busisi inamuhusu nini mtu wa KIGOMA??? Mbona mnajitoa akili hivi??Nafikri kwenye hii hoja watu wanatofautiani kwenye mitizamo! Kuna kundi wanaitizama Kanda ya ziwa kimgawanyo wa kiselikali au tuseme kiutawala. Kundi hili litasema Kanda ya ziwa ni Mwanza, kagera, Geita Simiyu na Mara tu
Lakini kundi Jingine wanaitizama Kanda za ziwa Kama Eneo lenye watu wenye mahusiano ya kihasili au wanaoshabihana kitamaduni na kimitizamo. Hili kundi litaunganisha mikoa ya Kagera,Kigoma,Katavi,Tabora,Shinyanga,Mwanza,Geita, Simiyu na Mara.
Kwasababu Siasa ni imani au mitizamo ambayo inaendeshwa na Asili au makuzi ya mtu fulani hivyo basi ukitaka kuzichanga karata zako vizuri kisiasa lazima watu wa kundi la pili uwaweke kundi moja uwaite wote ni Kanda ya ziwa. Maana hulka,tamaduni, aina ya maisha na mwingiliano wa kimaisha unafanana katika mikoa yote Tisa. Hivyo basi Ukienda Mwanza ukawaambia nitawajengea Daraja Busisi mtu wa Kagera, Geita, Kigoma atalichukua Kama lake maana wananufaika pia moja kwa moja. Au Ukienda Shinyanga Ukasema Nitawanufaisha wakulima wa Pamba na wachimbaji wa Madini. Mikoa yote ya Tabora, Shinyanga Geita, Mwanza, Simiyu na Mara watalichulia ka lao.
Mwisho: Kumbuka Muha akiongea anaelewana na mtu wa Katavi na Kagera, Pia Msukuma na mnyamwezi ni mtu na ndugu yake, Mkurya na Mhaya ni mtu na Babu yake wao wanaitana (Sokoro), Wajita, Wakerewe, Wazinza na Wahaya hao wote mpaka tamaduni wanafanana.Yapo mengi lkn tuishie hapo.
Kumbe wewe ndo mwenye shida.Sasa mtu anayetoka mwanza kwenda kakonko,kibondo,kasulu na kigoma napitia wapi?Wewe mtu unayajua mabasi yanayoitwa Saratoga,yehove yere,adventure, yehunge ??Basi kma hauyajui basi wewe sio mweji wa kanda ya ziwa jitahidi kukaa kimya.We jamaa, Busisi inamuhusu nini mtu wa KIGOMA??? Mbona mnajitoa akili hivi??
Ondoa kagera na Mara ambao hawana huo ushenzi ushenzi wa usukumagangKulikuwa na kauli nyingi sana za kisiasa kwamba kanda ya ziwa ndio inaamua Rais wa nchi kwenye uchaguzi kwasababu wako wengi sana.
Takwimu za sasa kwa namba:
Mwanza 3,699,872
Kagera 2,989,299
Geita 2,977,608
Mara 2,356,255
Shinyanga 2,123,654
Simiyu 2,078,428
Jumla ni around milioni 15 ambayo ni kama robo tu ya watanzania wote.
Hivi kwani kuna kanda ngapi Tanzania? Maana asilimia 25 ni robo ya wananchi wote sasa robo tatu zilizobaki zimejigawaje katika kanda zilizobaki?Kulikuwa na kauli nyingi sana za kisiasa kwamba kanda ya ziwa ndio inaamua Rais wa nchi kwenye uchaguzi kwasababu wako wengi sana.
Takwimu za sasa kwa namba:
Mwanza 3,699,872
Kagera 2,989,299
Geita 2,977,608
Mara 2,356,255
Shinyanga 2,123,654
Simiyu 2,078,428
Jumla ni around milioni 15 ambayo ni kama robo tu ya watanzania wote.
Mleta Mada ameiacha tabora kwa makusudiKwa taarifa yako .Kanda ya ziwa itabaki kuwa mwamuzi wa mwisho wa kisiasa hapa nchini [emoji116][emoji116]
Kanda ya mashariki
Dar -5.3
pwani -2.0
Morogoro -3.1
Jumla =10.1
Kanda ya kaskazini
Arusha -2.3
Kilimanjaro -1.8
manyara -1.8
Tanga-2.6
Jumla=8.5 milioni
Kanda ya nyanda za juu
Mbeya-2.3
Songwe -1.1
ruvuma-1.8
Njombe -0.8
Iringa -1.1
Rukwa-1.5
Jumla =8.6
Kanda ya kati
Dodoma -3.0
Singida -2.0
Jumla =5 milioni
Kanda ya magharibi
Kigoma -2.4
Tabora -3.3
Katavi-1.1
Jumla =6.8
Kanda ya kusini
Mtwara -1.6
Lindi -1.1
Jumla =2.7 milioni
NIMEKUTAJIA KANDA ZOTE HAMNA ILIYO NA 10 MILION + .. isipokuwa Kanda ya ziwa pekee
Sent using Jamii Forums mobile app
ukiondoa Kagera na Mara, inaingia Tabora na Katavi...Ondoa kagera na Mara ambao hawana huo ushenzi ushenzi wa usukumagang
Omurangila Kahigi.Wasukuma tunawapenda lakini hatuwezi kuwapa nchi Tena note it
Ni vigezo gani hivyo mahsusi vilivyofuatwa kutoa majimbo 9 kwa mkoa wa kusini Pemba nami nivifahamu!Kuna vigezo mahsusi katika kugawa majimbo ya uchaguzi, sio Population tu.
We jamaa, Busisi inamuhusu nini mtu wa KIGOMA??? Mbona mnajitoa akili hivi??
Hujui kitu, Kigoma mabus ya kwenda Mwanza ni mengi mno na yanapita hapo BusisiWe jamaa, Busisi inamuhusu nini mtu wa KIGOMA??? Mbona mnajitoa akili hivi??
Nilikusudia kuandika 50 ikawa nimegusa 4 badala ya 5. Nashukuru kwa masahihisho.Majimbo ya uchaguzi yapo 47 kwenye hiyo mikoa, wewe hiyo Pungufu ya 40 umeitoa wapi.