Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
👎👎M
Mpina 2025✅✅✅✅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👎👎M
Mpina 2025✅✅✅✅
inshu sio kupakana au nini,Japo Tabora inapakana na mkoa wa kigoma kupitia wilaya ya uvinza,baada ya wilaya ya KALIUA,lakini hilo ziwa Tanganyika lilipo ni mbali zaidi kuliko kutoka TABORA,kwenda Mwanza,licha ya hiyo mikoa kutopakana ni karibu zaidi,kuliko kwenda kigoma.Unataka kusema kwamba Mkoa wa tabora hakuna sehemu ambayo Umepakana na mkoa wa kigoma?.Alafu mwanza je kuna mahali umepakana na tabora?.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Tabora imejaza wasukuma mkuuinshu sio kupakana au nini,Japo Tabora inapakana na mkoa wa kigoma kupitia wilaya ya uvinza,baada ya wilaya ya KALIUA,lakini hilo ziwa Tanganyika lilipo ni mbali zaidi kuliko kutoka TABORA,kwenda Mwanza,licha ya hiyo mikoa kutopakana ni karibu zaidi,kuliko kwenda kigoma.
Hilo liko wazi,hoja yangu ilikuwa ni kumpinga mdau aliyesema kuwa kutoka Tabora kwenda kigoma ni karibu zaidi,kuliko kwenda Mwanza.Tabora imejaza wasukuma mkuu
Ila urais hauwezi kupAtikana kwa HiloKulikuwa na kauli nyingi sana za kisiasa kwamba kanda ya ziwa ndio inaamua Rais wa nchi kwenye uchaguzi kwasababu wako wengi sana.
Takwimu za sasa kwa namba:
Mwanza 3,699,872
Kagera 2,989,299
Geita 2,977,608
Mara 2,356,255
Shinyanga 2,123,654
Simiyu 2,078,428
Jumla ni around milioni 15 ambayo ni kama robo tu ya watanzania wote.
Tabora iko kanda ya ziwa au umeathiriwa na ukabila?Tabora Iko wapii
Hakika ujinga umekuzidi kimo!Tabora kuna ziwa gani?kutoka tabora mpaka uliguse ziwa victoria ni km 500,tabora ni jirani na kigoma,labda uongelee ziwa tanganyika
Kanda ya Magharibi ipo Tabora ndio makao makuu Kuna Kigoma na Katavi pia.Duh..haya
Naendelea kujifunza, thanks.
Halafu kanda ya magharibi ndo naisikia leo
Asante mkuu.Kanda ya Magharibi ipo Tabora ndio makao makuu Kuna Kigoma na Katavi pia.
Sku bashe akigombea uraisi mnistueM
Mpina 2025✅✅✅✅
Kwa uzoefu wangu wa kusafiri Nchi hii pendwa , kusema kweli sifa zimwendee Mel Julius Nyerere kwa kuweza kutuunganisha tukawa kitu kimoja,Hajui lolote huyo
Kanda ya ziwa 2035 tuna Jambo letu 😁, hao wazee back 3 watakuwa wamekufa wote , vijana wao wale ni wepesi Sana , wanategemea mbeleko za wazee wao tuu, kanda ya ziwa sa hv kila mtu ana chuki Kali ipo Tu moyoni imetulia😁Sisi kanda ya ziwa tunataka hii nchi igawanywe kila watu wapate kipande chao. Tuna madini ya kutosha, tuna maji ya kutosha, tuna samaki kibao, tuna mifugo na ardhi ya kutosha vilevile ni wachapa kazi na tuna upendo na nidhamu. Huko kunakobaki tunawaachia nyie mafisadi, tuone nani ataendelea. Huyo bibi kila siku safari zake ni kanda ya ziwa tu hamshangai? Mbona haendi bumbuli kwa kina mikamba au singida kwa kina machemba? Lake zone taifa kubwa, na sahizi tuna hasira tunawachekiii tunasema hiii bangosha!
Yaani mimi siku zote huwa nasema siku msoga akilamba mchanga nchi hii ndo itapumua na hapo ndo patachimbika kweli kweli.Kanda ya ziwa 2035 tuna Jambo letu 😁, hao wazee back 3 watakuwa wamekufa wote , vijana wao wale ni wepesi Sana , wanategemea mbeleko za wazee wao tuu, kanda ya ziwa sa hv kila mtu ana chuki Kali ipo Tu moyoni imetulia😁
Uwongo mkubwa! Hiyo mikoa, kila mmoja una 1m+.Mtwara na Lindi jumla ya wakazi 786,546. Huko eneo kubwa ni mapori yasiyokaliwa na watu. [emoji38][emoji38]
Kanda hazifuati makabila bali maeneo ya kijiografia.Leo ndo nimegundua kwamba Tabora ipo kanda ya kati.
Nilikuwa najua ni kanda ya ziwa kwasababu wanaendana na wasukuma.
Ruvuma ioo Kanda ya Kusini.Naona somo la kanda limekuwa tatizo kwa nchi hii
Chukua hii
1. Kanda ya Ziwa
Mwanza
Kagera
Shinyanga
Geita
Simiyu
Mara
2. Kati
Dodoma
Singida
3. Mashariki
Morogoro
Pwani
Dar
4. Magharibi
Kigoma
Tabora
Katavi
5. Nyanda za juu kusini
Njombe
Iringa
Mbeya
Songwe
Ruvuma
Rukwa
6. Kusini
Lindi
Mtwara
7. Kanda ya Kaskazini
Tanga
Kilimanjaro
Arusha
Manyara
Sifa moja ya mtu mjinga ni kutukana. Mjinga hana uwezo wa kujenga hoja. Wendawazimu/vichaa, jambo pekee ambalo wanaweza ni kutukana basi.We kiazi Tanga iko wap
hiki wanachojaribu kukitetea oor kigoma katavi etc ni mbinu chafu za kugawa nchi kikabila na kikanda, kanda hii inajiita kanda ya ziwa ina shida. Na hili linatokna na Era iliyopita walitaka kuendelea kutawala kwa kigezo hiki inabidi kikemewe kwa nguvu zote very selfish thinking. Namkumbuka sana baba wa Taifa na kujua kwa nini alipambana sana na ukabila kumbe alijua watu wa kanda yake ni wakabilia sana.Kanda ya Ziwa ni MARA, KAGERA, MWANZA, GEITA, na SIMIYU.
Ingawa kuna mikoa iko kanda ya magharibi lakini haina tofauti na kanda ya ziwa kama KIGOMA, TABORA na KATAVI.
Kuhusu siasa sioni sababu ya hofu kwasababu kanda ya ziwa hawajawahi kuoiga kura kama BLOCK ingawa lolote linawezekana.
Umetumia kipimo gani? Mbona kuna watu wengi wa Kanda ya Kaskazini Mwanza, kuliko watu wa Kanda ya Ziwa waliopo Kanda ya Kaskazini?Huwa najiuliza sijui ni kwanini watanzania wa mikoa mingine Sana Sana watu wa mkoa wa arusha hawaipendi mikoa ya Kanda ya ziwa especially mwanza
Em tuambizane sababu ni nini?
Hadi mnakua kama wakenya vile hawaipendi Tanzania.