Sasa imekuwa wazi, kanda ya ziwa ina watanzania asilimia 25 tu

Kama ni jiografia ndiyo inapiga kura,basi uko sahihi,ila kama ni watu wanapiga kura,naogopa kusema wasukuma wanaweza kuwa asilimia 40 ya watu wote nchini.
 
Uchaguzi Tanzania unaamuliwa na Tume sio kanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…