Sasa inakuwa rasmi mafuta bila stakabadhi

Hata Kibaha kituo Cha Oil Com hawatoi receipt
...muda Sasa wanasema mashine mbovu

Madhara kwa Serikali Ni kukosa Kodi stahiki kwa malipo yangu halali ya mafuta
 
Mama yetu mpendwa ukilaza damu katika hili la kukusanya kodi utafeli vibaya sana. Kodi za dhulma yes, hazifai lakini halali lazima zilipwe na risiti zitolewe kikamilifu.
 
Kwa Sasa ngoja nikae kimya nione mwisho wake. Je ile miradi ya kimkakati Delilah ataikamilisha au itamshinda!?
 

Nchi ngumu sana hii. Bora tairi izunguke na gari iende hata kama imepitisha siku za service...
 
Kwa mfano hapo kuna sheria ipi haijakaa vizuri?

Kwanini hiyo sheria ifanye kazi vizuri kwa mwingine na kwa mwingine itupwe kapuni?
 
Halafu unakuta jinga Kama Hili barabara ya mtaani kwake ikiharibika linalalamika why haikarabatiwi.
Wafuasi wa chadema ni wajinga sana mkuu!

Kwa akili zao wanafikiri kama kodi hailipwi anakomolewa marehemu
 
kwa baadhi ya majibu ya hapa bado tuko mbali sana!
sieelewi watu wanafurahije kuibiwa? tusije kulaumu serikali inaposhindwa kumudu kujiendesha kwa ajili ya makusanyo madogo ya kodi.
Ni machadema hayo mkuu!

Yanifikiri hapo anakomolewa marehemu.
 
Iyo post yako inausukuma ,
Inshu ya kutotoa risiti ktk baazi ya sheli ilikuepo kabla ya mwenda zake hajafa .Acha kumchafua mama ww Sukuma Gang
Nyie ndio wapumbavu wenyewe sasa!

Sasa hivi kila baya likitokea mnasema ni hujuma.

Na hii tabia ya nyie machadema kumtetea Samia inachekesha sana aisee!
 
Hata kama hujachukua lkn inatakiwa itoke kwenye machine ili kodi yako uliyolipa ende sehemu husika, ndani ya pesa yako kuna kodi inayokusanywa na muuza mafuta.
Kodi ambayo ilikuwa inajenga kila kitu Chato??
 
kwa baadhi ya majibu ya hapa bado tuko mbali sana!
sieelewi watu wanafurahije kuibiwa? tusije kulaumu serikali inaposhindwa kumudu kujiendesha kwa ajili ya makusanyo madogo ya kodi.
Ni lini serikali ilipata mapato makubwa na ikaweza kujiendesha kwa asilimia 100.
 
Hata kama hujachukua lkn inatakiwa itoke kwenye machine ili kodi yako uliyolipa ende sehemu husika, ndani ya pesa yako kuna kodi inayokusanywa na muuza mafuta.
Yakinunuliwa bulk mafuta hulipiwa kodi, hakuna namna mafuta yanaweza kushuka kwenye kituo bila kodi
Kinachofanyika ni double taxation ndo mana kodi za nchi hii hazilipiki.
 
Kodi inachukuliwa pia na huko depo, anaeuza mafuta kwa bulk, ni lazima ayalipie kodi, hakuna namna lori la mafuta linaweza toka depo na tax exempted fuel exept transit fuel.
Raia tunalipa kodi mara nyingi sana kwa item moja , na ndio sababu watu wanajaribu kukwepa kodi.
 
Naomba kuuliza hili...
Printing ya zile risiti na upelekwaji data TRA una uhusiano upi? Kwamba usipotoa risiti data haziendi? Maana wa fuel station kile kitendo cha ku-punch kwenye pump, automatically una-punch kwenye EFD machine..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…