Sasa kama dunia ipo miaka Bil 30 sisi mbona tupo binadamu bil 10 tu kwenye uso wa dunia ?

Joined
Jul 8, 2026
Posts
37
Reaction score
77
Kingine kama kwanzia mwaka 0 mpaka 2000 Kabla ya Kristo ukipiga hesabu na mwaka 0 mpaka leo mwaka 2026 baada ya Kristo, inakuwa miaka elfu 4 kwanini bado mpaka sasa tupo watu bilioni 10 duniani kote ?

Wengi mtasema ni Bangi ila Sio bangi, Nimewaza tu.

Nawasilisha

Nawasilisha.
 
Kwahyo miaka bilioni kadhaa ijayo binadamu atatoweka kabisa
Miaka bilioni mbona mingi? Miaka laki Moja tu binadamu hatokuwepo tena kwenye hii Dunia

Sababu ni nyingi, kwanza Kuna ongezeko la joto, pili kinaweza kutokea janga kubwa la kiasili likaua watu wote, au vita kubwa ya silaha za maangamizi, pia kadri watu wanavyoendelea wanaona kuzaa ni kujipa kazi ngumu na kuleta watu duniani ni kuwatesa
 
Iko hivi
Kabla ya kuishi duniani,walianza kuishi majini miaka tele,wakafanya uhasi na kiburi mwenyezi Mungu akawapiga chini .

Dunia ikawa tupu,baadae saaana,akaumbwa Adam , baada ya miaka tele ndipo akashushwa huku duniani.

Licha ya hayo yote,
Zaman adhabu zilikuwa za hapo kwa hapo,hakuna kusubiri kiyama kama zama zetu

Watu walikuwa wakipelekewa mitume,wakikataa wanapewa muda,wakizidi kukataa wanaangamizwa wote na kubakiza wachache sana waliokubali

Hata kama ni watu kumi.

Naishia hapo.
 
Mkuu usipuuze Tech ya mwanadamu. Yes tuna hatari nyingi kama Nuke n.k ila tuna watu wenye akili nyingi pia, Miaka 1000 ijayo pengine makazi yasiwe duniani tu. Hakuna kiumbe kinachopigania kuendelea kuexist kama mwanadamu.
 
Miaka bilioni mbona mingi? Miaka laki Moja tu binadamu hatokuwepo tena kwenye hii Dunia

Sababu ni nyingi, kwanza Kuna ongezeko la joto, pili kinaweza kutokea janga kubwa la kiasili likaua watu wote, au vita kubwa ya silaha za maangamizi, pia kadri watu wanavyoendelea wanaona kuzaa ni kujipa kazi ngumu na kuleta watu duniani ni kuwatesa
Labda tutapata na tutaweza kuhamia Sayari nyingine
 
Kingine kama kwanzia mwaka 0 mpaka 2000 Kabla ya Kristo ukipiga hesabu na mwaka 0 mpaka leo mwaka 2026 baada ya Kristo, inakuwa miaka elfu 4 kwanini bado mpaka sasa tupo watu bilioni 10 duniani kote ?

Wengi mtasema ni Bangi ila Sio bangi, Nimewaza tu.

Nawasilisha

Nawasilisha.
Ukitaka tuwe bilioni ngapi?

Hata hivyo tangu Dunia kuwepo inakadiriwa watu zaidi ya bilioni 117 wameishi duniani.
 
Iko hivi
Kabla ya kuishi duniani,walianza kuishi majini miaka tele,wakafanya uhasi na kiburi mwenyezi Mungu akawapiga chini .

Dunia ikawa tupu,baadae saaana,akaumbwa Adam , baada ya miaka tele ndipo akashushwa huku duniani.

Licha ya hayo yote,
Zaman adhabu zilikuwa za hapo kwa hapo,hakuna kusubiri kiyama kama zama zetu

Watu walikuwa wakipelekewa mitume,wakikataa wanapewa muda,wakizidi kukataa wanaangamizwa wote na kubakiza wachache sana waliokubali

Hata kama ni watu kumi.

Naishia hapo.
Ulipoanza tu na mambo ya majini ndio nikazidi kuchanganyikiwa na uliposema adamu alishumwa kutoka mbinguni ndio Daaaaah.

Sasa tuwe honest! Nahisi kuna third theory of creation ukitoa imani na sayansi.
 
Nani alithibitisha kuwa dunia imekuwepo kwa miaka Bill 30? Hata miamba iliyokuwepo miaka Mil 50 tu iliyopita sidhani kama Carbon 14 inaweza kupima sembuse miaka Million 1000 ambayo ni Billion 1 tu

Erosion ilishatokea nyingi sana, Earthquarke, Mvua kubwa za maafa...Jurasic eras...halafu utapata wp miamba iliyosurvive kwa miaka hiyo?
 
Uranium-lead dating

Halafu umri wa dunia ni miaka bilioni 4
 
Kingine kama kwanzia mwaka 0 mpaka 2000 Kabla ya Kristo ukipiga hesabu na mwaka 0 mpaka leo mwaka 2026 baada ya Kristo, inakuwa miaka elfu 4 kwanini bado mpaka sasa tupo watu bilioni 10 duniani kote ?

Wengi mtasema ni Bangi ila Sio bangi, Nimewaza tu.

Nawasilisha

Nawasilisha.
Dunia ipo miaka bilioni 4
 
Back
Top Bottom