Sasa kama dunia ipo miaka Bil 30 sisi mbona tupo binadamu bil 10 tu kwenye uso wa dunia ?

Sasa kama dunia ipo miaka Bil 30 sisi mbona tupo binadamu bil 10 tu kwenye uso wa dunia ?

umechanganya vitu vitatu Umri wa Dunia, umri wa binadamu na kalenda ya BC/AD. Mwaka 0 sio siku binadamu walipoanza kuzaliwa. Binadamu walikuwepo maelfu ya miaka kabla ya hiyo kalenda nadhani homosapiens wapo na kama 30000 hivi Halafu hao waliozaliwa miaka 2,000 iliyopita si kwamba bado tunawahesabu kwenye population ya leo, walishakufa mkuu Population ya leo ni waliopo hai sasa.
 
Miaka bilioni mbona mingi? Miaka laki Moja tu binadamu hatokuwepo tena kwenye hii Dunia

Sababu ni nyingi, kwanza Kuna ongezeko la joto, pili kinaweza kutokea janga kubwa la kiasili likaua watu wote, au vita kubwa ya silaha za maangamizi, pia kadri watu wanavyoendelea wanaona kuzaa ni kujipa kazi ngumu na kuleta watu duniani ni kuwatesa
Kwa tafiti binadamu na miaka 300,000. kwenye uso wa dunia
 
Kingine kama kwanzia mwaka 0 mpaka 2000 Kabla ya Kristo ukipiga hesabu na mwaka 0 mpaka leo mwaka 2026 baada ya Kristo, inakuwa miaka elfu 4 kwanini bado mpaka sasa tupo watu bilioni 10 duniani kote ?

Wengi mtasema ni Bangi ila Sio bangi, Nimewaza tu.

Nawasilisha

Nawasilisha.

Unadhani idadi kamili ya wanadamu ilipaswa iwe ipi?
 
Na hapo NEW WORLD ODDER wanampango wa kupunguza watu billion 6 hapa duniani.
 
Back
Top Bottom