livingroom_espionage
Member
- Jul 8, 2026
- 37
- 77
Kwahyo miaka bilioni kadhaa ijayo binadamu atatoweka kabisaBinadamu alichelewa sana kutokea kwenye hiyo Dunia,
Sio kweli kwamba Dunia ilivyotokea na binadamu naye alitokea kwa wakati huo.
Miaka bilioni mbona mingi? Miaka laki Moja tu binadamu hatokuwepo tena kwenye hii DuniaKwahyo miaka bilioni kadhaa ijayo binadamu atatoweka kabisa
Hawezi kutoweka kwa sababu anazidi kuongezeka.Kwahyo miaka bilioni kadhaa ijayo binadamu atatoweka kabisa
Kweka kafanya jamaa zetu wa kataa ndoa wazidi kuchanja mbugaHawezi kutoweka kwa sababu anazidi kuongezeka.
Inadidiliwa Hadi sasa tupo bilioni 8 au 10 ila Kuna mmoja ametutoka juzi mke wa kweka😀
Mkuu usipuuze Tech ya mwanadamu. Yes tuna hatari nyingi kama Nuke n.k ila tuna watu wenye akili nyingi pia, Miaka 1000 ijayo pengine makazi yasiwe duniani tu. Hakuna kiumbe kinachopigania kuendelea kuexist kama mwanadamu.Miaka bilioni mbona mingi? Miaka laki Moja tu binadamu hatokuwepo tena kwenye hii Dunia
Sababu ni nyingi, kwanza Kuna ongezeko la joto, pili kinaweza kutokea janga kubwa la kiasili likaua watu wote, au vita kubwa ya silaha za maangamizi, pia kadri watu wanavyoendelea wanaona kuzaa ni kujipa kazi ngumu na kuleta watu duniani ni kuwatesa
Labda tutapata na tutaweza kuhamia Sayari nyingineMiaka bilioni mbona mingi? Miaka laki Moja tu binadamu hatokuwepo tena kwenye hii Dunia
Sababu ni nyingi, kwanza Kuna ongezeko la joto, pili kinaweza kutokea janga kubwa la kiasili likaua watu wote, au vita kubwa ya silaha za maangamizi, pia kadri watu wanavyoendelea wanaona kuzaa ni kujipa kazi ngumu na kuleta watu duniani ni kuwatesa
Ukitaka tuwe bilioni ngapi?Kingine kama kwanzia mwaka 0 mpaka 2000 Kabla ya Kristo ukipiga hesabu na mwaka 0 mpaka leo mwaka 2026 baada ya Kristo, inakuwa miaka elfu 4 kwanini bado mpaka sasa tupo watu bilioni 10 duniani kote ?
Wengi mtasema ni Bangi ila Sio bangi, Nimewaza tu.
Nawasilisha
Nawasilisha.
Ulipoanza tu na mambo ya majini ndio nikazidi kuchanganyikiwa na uliposema adamu alishumwa kutoka mbinguni ndio Daaaaah.Iko hivi
Kabla ya kuishi duniani,walianza kuishi majini miaka tele,wakafanya uhasi na kiburi mwenyezi Mungu akawapiga chini .
Dunia ikawa tupu,baadae saaana,akaumbwa Adam , baada ya miaka tele ndipo akashushwa huku duniani.
Licha ya hayo yote,
Zaman adhabu zilikuwa za hapo kwa hapo,hakuna kusubiri kiyama kama zama zetu
Watu walikuwa wakipelekewa mitume,wakikataa wanapewa muda,wakizidi kukataa wanaangamizwa wote na kubakiza wachache sana waliokubali
Hata kama ni watu kumi.
Naishia hapo.
Watu walikua wanatombana sana wakaona haitoshi wakaanza kutombana na wanyama, washenzi wakaingia maabara wakaanzaa kutengeneza magonjwa ndio ukawa mwanzo wa idadi kushuka chinikwanini bado mpaka sasa tupo watu bilioni 10 duniani kote ?
Uranium-lead datingNani alithibitisha kuwa dunia imekuwepo kwa miaka Bill 30? Hata miamba iliyokuwepo miaka Mil 50 tu iliyopita sidhani kama Carbon 14 inaweza kupima sembuse miaka Million 1000 ambayo ni Billion 1 tu
Erosion ilishatokea nyingi sana, Earthquarke, Mvua kubwa za maafa...Jurasic eras...halafu utapata wp miamba iliyosurvive kwa miaka hiyo?
Dunia ipo miaka bilioni 4Kingine kama kwanzia mwaka 0 mpaka 2000 Kabla ya Kristo ukipiga hesabu na mwaka 0 mpaka leo mwaka 2026 baada ya Kristo, inakuwa miaka elfu 4 kwanini bado mpaka sasa tupo watu bilioni 10 duniani kote ?
Wengi mtasema ni Bangi ila Sio bangi, Nimewaza tu.
Nawasilisha
Nawasilisha.
Nimeanza kuangalia Planet earth tangu nipo vidudu,mara ya mwisho nimeangalia mwaka juzi,.documentary ya wanyama ina mahusiano gani na mada??Tafuta documentary Inaitwa planet earth
Hizi taarifa sidhani ni reliable kiasi hichoUranium-lead dating
Halafu umri wa dunia ni miaka bilioni 4