Sasa kama dunia ipo miaka Bil 30 sisi mbona tupo binadamu bil 10 tu kwenye uso wa dunia ?

umechanganya vitu vitatu Umri wa Dunia, umri wa binadamu na kalenda ya BC/AD. Mwaka 0 sio siku binadamu walipoanza kuzaliwa. Binadamu walikuwepo maelfu ya miaka kabla ya hiyo kalenda nadhani homosapiens wapo na kama 30000 hivi Halafu hao waliozaliwa miaka 2,000 iliyopita si kwamba bado tunawahesabu kwenye population ya leo, walishakufa mkuu Population ya leo ni waliopo hai sasa.
 
Kwa tafiti binadamu na miaka 300,000. kwenye uso wa dunia
 

Unadhani idadi kamili ya wanadamu ilipaswa iwe ipi?
 
Na hapo NEW WORLD ODDER wanampango wa kupunguza watu billion 6 hapa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…