Sasa kupima DNA muhimbili ni 100,000 tu

Sasa kupima DNA muhimbili ni 100,000 tu

wakiondoe hicho kipimo!

kitazidi kutuongezea watoto wa mitaani tu na vibaka!

ifikie kipindi serikali iangalie maamuzi nyeti kama hayo yawe yanafanywa kwa vigezo maalum vikali!

tena kama wakigundua kama mtoto si wa familia hiyo, basi haina haja ya kumpa majibu, kwa sababu hii itaongeza tatizo!

mpaka mzazi kwenda kupima dna ina maana hatokuwa na amani na mwanae endapo atagundua kuwa huyo si mwanawe!

Acha hizo wewe . Ikiwa wewe ndio unataka kufahamu kama ni wako na ungependa kuwa karibu kwa malezi na matunzo usingesema hivyo.
 
Acha hizo wewe . Ikiwa wewe ndio unataka kufahamu kama ni wako na ungependa kuwa karibu kwa malezi na matunzo usingesema hivyo.

dont speak as if you are in the native informal fish market.. give out the facts.
 
Huko MBELE wanapima dna kwa kila mtoto anaezaliwa. Faida ni;
1. Kuongeza thamani ya mtoto kwa mzazi. Baba anakuwa na uhakika na mtoto anaelea kuwa ni mwanae. Hatoleta mchezo ktk malezi.
2. Kuzidi kumpenda mkeo kwa kuwa mwaminifu
3. Baba unajiamini kuwa we ni mzazi halisi na jukumu lililo mbele ni kulea
4. Kumbukumbu za undugu inapotokea ajali mbaya au moto.
5.Nk

Hiki kipimo kinatakiwa kuwa bure tena bila urasimu. Shame on our gvt!!
Mbona huku mbele kuna watu unknowingly wanalea watoto pasipo kujua wao si biological fathers- bombshell linalipuka many years afterwards
 
Classic Example of why Western Governments should make Paternity Test
Mandatory. What if Frank Maus's kids end up in a relationship with the kids
of their own real genetic father ?

Imagine how many of the westerners do NOT know their real genetic father and
how many of the relationships are incestual.

Paid to do it, but fails to make his friend's wife pregnant after 72
Attempts

A nice story, with surprising end:

In Stuttgart, Germany, a court judge must decide on a case of honorable
intentions in a situation where a man hired his neighbor to get his wife
pregnant.

It seems that Demetrius Soupolos, 29, and his former beauty queen wife,
Traute, wanted a child badly, but Demetrius was told by a doctor that he was
sterile.

So, Soupolos, after calming his wife's protests, hired his neighbor, Frank
Maus, 34, to impregnate her. Since Maus was already married and the father
of two children, plus looked very much like Soupolos to boot, the plan
seemed good.

Soupolos paid Maus $2,500 for the job and for three evenings a week for the
next six months, Maus tried desperately, a total of 72 different times, to
impregnate Traute.

When his own wife objected, he explained, "I don't like this any more than
you. I'm simply doing it for the money. Try and understand."

When Traute failed to get pregnant after six months, however, Soupolos was
not understanding and insisted that Maus have a medical examination, which
he did.

The doctor's announcement that Maus was also sterile shocked everyone except
his wife, who was forced to confess that Maus was not the real father of
their two children.

Now Soupolos is suing Maus for breach of contract in an effort to get his
money back, but Maus refuses to give it up because he said he did not
guarantee conception, but only that he would give an honest effort.

Source: https://groups.google.com/d/topic/rec.sport.cricket/FMTR8qIyvN0
 
Huko MBELE wanapima dna kwa kila mtoto anaezaliwa. Faida ni;
1. Kuongeza thamani ya mtoto kwa mzazi. Baba anakuwa na uhakika na mtoto anaelea kuwa ni mwanae. Hatoleta mchezo ktk malezi.
2. Kuzidi kumpenda mkeo kwa kuwa mwaminifu
3. Baba unajiamini kuwa we ni mzazi halisi na jukumu lililo mbele ni kulea
4. Kumbukumbu za undugu inapotokea ajali mbaya au moto.
5.Nk

Hiki kipimo kinatakiwa kuwa bure tena bila urasimu. Shame on our gvt!!

Mkuu umeaongea vema! Tungekuwa kny viti virefu ningekurushia hata ka-glass cha wine. Urasimu huu sio tu unamnyima mtoto haki ya kuendeleza ukoo wao lakini unashawishi udanganyifu kwenye ndoa.
 
dont speak as if you are in the native informal fish market.. give out the facts.

Sikuwa na nia ya kulumbana
Kipimo hiki kipo kwa ajili ya kutambua vinasaba , hata ikitokea ajali kiasi cha watu kutotambulika kipimo hicho hutumika.
Kufahamu ukweli huondoa wasiwasi.
Chukua mfano umemlea mtoto mpaka umri wa miaka 18 au zaidi then anatokea mtu anasema huyo mtoto ni wake na maneno kibao sidhani kama utakaa kimya na kuyapuuzia.
 
..lakini ilitakiwa kusiwe na ukilitimba wakati wa kupima,it is unnecessary complications..ilikuwa tupime kama malaria vile.
 
Mamaaaaa naona ndoa zinavovurugika kwa laki tu,sema nasikia nao wanapenda kuweka matokeo yao ili kuokoa ustawi wa familia ndo vile ww mweusi km kiwi na mkeo km lami mpya kazaliwa Justine Biber unaambiwa wenu eti lzm kuna babu wa mababu alikua mkoloni.
 
Sipati picha maybe at the age of 30 unagundua huyo baba si baba yako halisi hivi utamkabilije bi mkubwa na kumwambia ugunduzi wako??????

Wakati mwingine hivi vipimo haviko fair sababu huenda nesi alikosea na kuswap mtoto wakati wa kujifungua halafu mkipima dna inaonyesha mtoto si wenu.Hapa lawama zote atapewa mama kumbe masikini hajui
 
Wakati mwingine hivi vipimo haviko fair sababu huenda nesi alikosea na kuswap mtoto wakati wa kujifungua halafu mkipima dna inaonyesha mtoto si wenu.Hapa lawama zote atapewa mama kumbe masikini hajui

But what are the odds for that vis-à-vis unfaithfulness?

Wabongo wanavyoogopa DNA utadhani kiama vile. Watu wako radhi kudanganywa na kulea watoto ambao siyo wa kwao kisa tu hawataki kuukabili ukweli.

Sielewi kabisa!
 
Nafikiri kwakuwa hatujazoea ndo maana woga unajitokeza sana,but time will shape our understanding. Vp kwa watu wazima tayari ambao wana familia zao tayari let say mna zaidi ya 25yrs? Mfano kaka na dada , kaka na kaka etc, mtoto anaweza kuwashawishi wazee wake wapime?
 
daaaaah,yaani gharama za kuvunja ndoa za watu ndio zinakuwa rahisi hvyo
 
maisha menyewe magumu yaani ni full stress kila kukicha halafu leo nikatatafute presha tena kwa maDNA? Bora niendelea kudanganywa na kuibiwa tuuuuu %#http://
 
Usawa wa kulea mtoto asie wako haupo, sikuhizi maisha magum, wadada wanabambika mimba sana, afadhali kipimo hiki kitapunguza udanganyifu (ubambikwaji)
Mie 6taki kubambikwa lazima nipime DNA hata kama ni watoto 20.
 
Back
Top Bottom