Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Yaani hujui kunukuu kwa namna hiyo licha ya kujiunga mwaka 2011 (at least kwa hii ID, just in case unazo zingine)?
hahahaaa!! acha basi kuzingua bana! nielekeze mara moja..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hujui kunukuu kwa namna hiyo licha ya kujiunga mwaka 2011 (at least kwa hii ID, just in case unazo zingine)?
Unapita huko ili kuthibitisha uhalali wako wa kumpima mtoto huyo, ukipaswa kutoa sababu muhimu itakayoonesha interest yako kwa mtoto huyo(kama baba,mama,mlezi n.k) na si kila mtu.Kwa nini upitie huko kote?
Huko MBELE wanapima dna kwa kila mtoto anaezaliwa. Faida ni;
1. Kuongeza thamani ya mtoto kwa mzazi. Baba anakuwa na uhakika na mtoto anaelea kuwa ni mwanae. Hatoleta mchezo ktk malezi.
2. Kuzidi kumpenda mkeo kwa kuwa mwaminifu
3. Baba unajiamini kuwa we ni mzazi halisi na jukumu lililo mbele ni kulea
4. Kumbukumbu za undugu inapotokea ajali mbaya au moto.
5.Nk
Hiki kipimo kinatakiwa kuwa bure tena bila urasimu. Shame on our gvt!!
Mara nyingi jambo jipya huwa linatisha hasa kwetu sisi wabongo. Baada ya muda kupita huko mbele watazoea na wataweza kuchukulia kuwa hivi vipimo ni vya kawaida. Si unakumbuka miaka ya 90 watu walivyokuwa wanaponda mambo ya vyama vingi lkn baada ya muda wameona kuwa ni jambo la kawaida.But what are the odds for that vis-à-vis unfaithfulness?
Wabongo wanavyoogopa DNA utadhani kiama vile. Watu wako radhi kudanganywa na kulea watoto ambao siyo wa kwao kisa tu hawataki kuukabili ukweli.
Sielewi kabisa!
Wewe huogopi. je ushapimaWabongo tunaogopa sana kupima DNA
wakiondoe hicho kipimo!
kitazidi kutuongezea watoto wa mitaani tu na vibaka!
ifikie kipindi serikali iangalie maamuzi nyeti kama hayo yawe yanafanywa kwa vigezo maalum vikali!
tena kama wakigundua kama mtoto si wa familia hiyo, basi haina haja ya kumpa majibu, kwa sababu hii itaongeza tatizo!
mpaka mzazi kwenda kupima dna ina maana hatokuwa na amani na mwanae endapo atagundua kuwa huyo si mwanawe!
halafu ukishajua si wako, utamfanya nn kiumbe wa maulana?
Bei za kupima DNA muhimbili hospitali zimepungua na kufikia shs laki moja hivyo kama huna uhakika na mtoto ulienae kama ni wako unaweza kuondoa utata.
Nafikiri kwasababu za kiusalama zaidi unaweza kwenda kupima mtoto huko, ukakuta sio wako ukatoka huko ukaenda kumchinja mtu.
Sipati picha maybe at the age of 30 unagundua huyo baba si baba yako halisi hivi utamkabilije bi mkubwa na kumwambia ugunduzi wako??????
Wakati mwingine hivi vipimo haviko fair sababu huenda nesi alikosea na kuswap mtoto wakati wa kujifungua halafu mkipima dna inaonyesha mtoto si wenu.Hapa lawama zote atapewa mama kumbe masikini hajui
Naam, mtoto hana kosa.
Lakini mama kama alinidanganya ndo atakuwa anamakosa na nitachukua hatua stahilifu dhidi yake i.e. kumuacha aendelee na maisha yake na mimi niendelee na yangu.
CHANZO CHA TAARIFA TAFADHALIBei za kupima DNA muhimbili hospitali zimepungua na kufikia shs laki moja hivyo kama huna uhakika na mtoto ulienae kama ni wako unaweza kuondoa utata.