johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Anaficha uovu wa mume wake. Sasa mume muda wote yupo kwenye magenge ya uhalifu wewe husemi.Nimeshangazwa sana na katazo la mke wa RC kuingia nchini Marekani. Yeye binafsi ana kosa gani?!
Naomba Pascal Mayalla na Nyani Ngabu mkuje hapa kunitoa tongotongo.
Nawasilisha!
Mimi nadhani dawa yao waende kinguvu tuone kama watawagusa.Nimeshangazwa sana na katazo la mke wa RC kuingia nchini Marekani. Yeye binafsi ana kosa gani?!
Naomba Pascal Mayalla na Nyani Ngabu mkuje hapa kunitoa tongotongo.
Nawasilisha!
Hujajibu swali bwashee!Ngoja utakapooa kisha likatokea tatizo kati yenu ndo utajua maana zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinguvu wataendaje bwashee?........ Marekani siyo Dodoma!Mimi nadhani dawa yao waende kinguvu tuone kama watawagusa.
Umeambiwa familia yake yote...mpaka na Mzee Albert Bashite pamoja na Mama Bashite, na mtoto wao Keagan.Nimeshangazwa sana na katazo la mke wa RC kuingia nchini Marekani. Yeye binafsi ana kosa gani?!
Naomba Pascal Mayalla na Nyani Ngabu mkuje hapa kunitoa tongotongo.
Nawasilisha!
Siku wakicharulana utaona mke anaropoka yote mbele ya mediaNgoja utakapooa kisha likatokea tatizo kati yenu ndo utajua maana zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu swali bwashee usiniulize!Unashanga hiyo
Mbona Mugabe alipigwa ban yeye na familia yake yote uingereza na baadhi ya nchi za ulaya
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
hata hawawezi kukanyaga mpka wa USMimi nadhani dawa yao waende kinguvu tuone kama watawagusa.
Mwambie Marekani siyo Clouds Media alikozoea kutimba kibabe.Kinguvu wataendaje bwashee?........ Marekani siyo Dodoma!
Afikie kote huko ili iweje ... Bash Boy 7 years to come from now atakuwa nyuma ya nondo za gereza lolote hapa tanzania au dunianiUmeambiwa familia yake yote...mpaka na Mzee Albert Bashite pamoja na Mama Bashite, na mtoto wao Keagan.
Yan mtoto akikua atakuwa anamwuliza baba yake kwanini baba ulizuiwa kwenda Marekani? Of coz na EU, ulifanya uhalifu gani? Halaf Mtoto atauliza tena, kumbe mali zote hizi baba ni zao la Uhalifu?
Kama hiyo haitoshi, tamko la Marekani linasema State Department yaweza kum-designate mhalifu kuwa ineligible kuingia US "Publicly or Privately"...
hiyo maana yake ni kwamba hata marafiki wa karibu wa Bashite - akina Diamond Platnumz, Jokate Mwegelo, Wema Sepetu, timu nzima ya Wasafi kwa Sasa watakuwa wanaiona Marekani kwenye games za Computer tu dadeki...unaenda Ubalozini unashangaa hakuna Mtu anayetaka kudeal na Wewe, so very sad
Policy yao, labda muombe ndugai aishauri congressNimeshangazwa sana na katazo la mke wa RC kuingia nchini Marekani. Yeye binafsi ana kosa gani?!
Naomba Pascal Mayalla na Nyani Ngabu mkuje hapa kunitoa tongotongo.
Nawasilisha!