Sasa mke wa Makonda ana kosa gani hadi azuiliwe kuingia Marekani?

Sasa mke wa Makonda ana kosa gani hadi azuiliwe kuingia Marekani?

Soma paragraph ya 3 mstari wa 4. Sababu ni "The law also requires the Secretary of State to publicly or privately designate such official and their immediate family members"
tapatalk_1580568865992.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mama yake Kibendera alikuwa na kosa gani mpaka kunyimwa proper burial by his loved one? Maiti ana haki zake nae pia!
 
Unashanga hiyo
Mbona Mugabe alipigwa ban yeye na familia yake yote uingereza na baadhi ya nchi za ulaya

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio kwamba anashangaa ukweli ni kwamba hajui ajitekenye vipi kwenye issue ya BASHITE. Hawa watu wa ajabu sana.
ati MUSIBA anaita press na Morel wanaanza kutukana wewe wakati msaada wamenyimwa kwa sababu za ukweli kabisaaa hao ndio wanaharakati wa CCM
 
Nimeshangazwa sana na katazo la mke wa RC kuingia nchini Marekani. Yeye binafsi ana kosa gani?!

Naomba Pascal Mayalla na Nyani Ngabu mkuje hapa kunitoa tongotongo.

Nawasilisha!

Imagine wanakuzuia kuingia kwao wakati kufika south africa kwako tu mtihani kwani ina madhara gani kwake yeye binafsi kama hana projects kule? Haina mana yoyote hiyo ban yao.kwani kuna ulazima gani yy kwenda kule?
 
Kama ni mimi naenda Canada, kisha Mexico, nakuwa nawacheki US kwa jirani.
 
Nimeshangazwa sana na katazo la mke wa RC kuingia nchini Marekani. Yeye binafsi ana kosa gani?!

Naomba Pascal Mayalla na Nyani Ngabu mkuje hapa kunitoa tongotongo.

Nawasilisha!
Sheria zake Marekani kutembelea either Iwe migrants or non migrant visa or green card etc .mke na watoto ni part ya wewe...incase mkewe akienda Marekani na akawa na permanent residence automatically mumewe anaweza kupatiwa green card. So wanapigwa ban wote wawili kusiwepo na mgongano wa Kisheria in future

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakipigwa ban na hao wasanii itakua safi sana maana wanajipendekeza mno
Umeambiwa familia yake yote...mpaka na Mzee Albert Bashite pamoja na Mama Bashite, na mtoto wao Keagan.

Yan mtoto akikua atakuwa anamwuliza baba yake kwanini baba ulizuiwa kwenda Marekani? Of coz na EU, ulifanya uhalifu gani? Halaf Mtoto atauliza tena, kumbe mali zote hizi baba ni zao la Uhalifu?

Kama hiyo haitoshi, tamko la Marekani linasema State Department yaweza kum-designate mhalifu kuwa ineligible kuingia US "Publicly or Privately"...

hiyo maana yake ni kwamba hata marafiki wa karibu wa Bashite - akina Diamond Platnumz, Jokate Mwegelo, Wema Sepetu, Le Mutuz, timu nzima ya Wasafi kwa Sasa watakuwa wanaiona Marekani kwenye games za Computer tu dadeki...unaenda Ubalozini unashangaa hakuna Mtu anayetaka kudeal na Wewe, so very sad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshangazwa sana na katazo la mke wa RC kuingia nchini Marekani. Yeye binafsi ana kosa gani?!

Naomba Pascal Mayalla na Nyani Ngabu mkuje hapa kunitoa tongotongo.

Nawasilisha!
Ijue nguvu ya ndoa
Mke na Mume ni kitu kimoja

na si mkewe tu nadhani na familia yake kwa ujumla
 
Back
Top Bottom