Sasa mke wa Makonda ana kosa gani hadi azuiliwe kuingia Marekani?

Sasa mke wa Makonda ana kosa gani hadi azuiliwe kuingia Marekani?

Mali zote walizoiba na kuficha nje ndio basi tena
 
H
Nimeshangazwa sana na katazo la mke wa RC kuingia nchini Marekani. Yeye binafsi ana kosa gani?!

Naomba Pascal Mayalla na Nyani Ngabu mkuje hapa kunitoa tongotongo.

Nawasilisha!
Hoja ikija hapa isipangiwe nani aichangie lasivyo ungewapigia simu hao watuwako!!
Kwawengine... Mke wa muuaji ni mnufaika (next of kin) wa uovu wa mumewe pia mtoto wake. Unaua alafu unapeleka mke na watoto marekani kuponda maraha nyambaff. Hata Muumba huhukumu hadI kizazi cha NNE!
 
Makonda saiv kuanzia namanga mpaka maeneo ya zantel atakuwa anaona kama kituo cha police, 🤣🤣🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimeshangazwa sana na katazo la mke wa RC kuingia nchini Marekani. Yeye binafsi ana kosa gani?!

Naomba Pascal Mayalla na Nyani Ngabu mkuje hapa kunitoa tongotongo.

Nawasilisha!
Hamshauri vizur mume wake mpaka anaondoa haki za kuishi za watu,hamuulizi mbona unashiriki kumwaga damu za watu kwa sababu ya madaraka ambayo utayaacha na utakufa km unavyowatanguliza wenzako?Anaweza kunufaika kupitia mkewe so lazima wote wapigwe pin!Kila siku anatuhumiwa kuteka na kuua watu,ikumbukwe aliwahi kupanga mipango ya kumjeruhi mzee wa Warioba,huyu kijana mwisho wake utakua mbaya,muda ni hakimu.Usishangae leo likaenda kanisani
 
Umeambiwa familia yake yote...mpaka na Mzee Albert Bashite pamoja na Mama Bashite, na mtoto wao Keagan.

Yan mtoto akikua atakuwa anamwuliza baba yake kwanini baba ulizuiwa kwenda Marekani? Of coz na EU, ulifanya uhalifu gani? Halaf Mtoto atauliza tena, kumbe mali zote hizi baba ni zao la Uhalifu?

Kama hiyo haitoshi, tamko la Marekani linasema State Department yaweza kum-designate mhalifu kuwa ineligible kuingia US "Publicly or Privately"...

hiyo maana yake ni kwamba hata marafiki wa karibu wa Bashite - akina Diamond Platnumz, Jokate Mwegelo, Wema Sepetu, Le Mutuz, timu nzima ya Wasafi kwa Sasa watakuwa wanaiona Marekani kwenye games za Computer tu dadeki...unaenda Ubalozini unashangaa hakuna Mtu anayetaka kudeal na Wewe, so very sad
Hili zuio hawakumtaja Keagan.
Huenda kwenye uchunguzi wao wameona kuwa Bashite siyo biological father kwa Keagan.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani si ni nchi ya wenyewe kwani kama wakimkataa huyo asiingiemo wewe hiyo inakupa tabu gani.

Labda kama mume ni mhalifu na mke kamkubali wanaishi naye kwa nini wasifanane kitabia. Marekani sio mafala kama nyie, wanachukua kitu wanaita "Preemptive Measures".

Lazima uelewe hilo kuwa wenzetu wako very smart and sophisticated ktk maswala ya intelligence. Nyie mmezoea ile intelligence ya kunyanyasa wapinzani na ya utekaji.

After all, wewe unataka mke wa Bashite aruhusiwe kwenda Marekani ili ufaidi nini au unataka ukamzengee Bashite wewe dada, acha kabisa hiyo tabia.
 
Hili zuio hawakumtaja Keagan.
Huenda kwenye uchunguzi wao wameona kuwa Bashite siyo biological father kwa Keagan.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbegu za mzungu itakuwa, mke si alipandikiziwa mimba huko huko Marekani au vp

Sema Wazungu wanapenda sana Watoto, hawawezi kufanya jambo la kumwumiza mtoto asiyejua chochote kuhusu Uovu wa babaye
 
Umeambiwa familia yake yote...mpaka na Mzee Albert Bashite pamoja na Mama Bashite, na mtoto wao Keagan.

Yan mtoto akikua atakuwa anamwuliza baba yake kwanini baba ulizuiwa kwenda Marekani? Of coz na EU, ulifanya uhalifu gani? Halaf Mtoto atauliza tena, kumbe mali zote hizi baba ni zao la Uhalifu?

Kama hiyo haitoshi, tamko la Marekani linasema State Department yaweza kum-designate mhalifu kuwa ineligible kuingia US "Publicly or Privately"...

hiyo maana yake ni kwamba hata marafiki wa karibu wa Bashite - akina Diamond Platnumz, Jokate Mwegelo, Wema Sepetu, Le Mutuz, timu nzima ya Wasafi kwa Sasa watakuwa wanaiona Marekani kwenye games za Computer tu dadeki...unaenda Ubalozini unashangaa hakuna Mtu anayetaka kudeal na Wewe, so very sad
dadeki !!!
 
Sio Mkewe tu hata wewe ukionekana upo close na BASHITE unakula BAN ,Muonyeni DOMONDI mapema na LE MPIPAZ wakiendelea kulamba MATTER_CORE ya Bashite watapigwa BAN US wataisikia DOCHIWELE.
 
Na vyenge kibao wanadhani ni USA pekee yake,ni kwamba ni nchi zote za G7 hatakanyaga hata aloge!

Wote hao ni allies wa US!

Wakati anajaza fomu za Germany au UK au Canada au popote kuna kipengele cha “aulishawahi kua banned kuingia popote?na sababu nini”....akijibu hapo ni lazima akose visa,piga ua!

Jamaa kala doa la maisha yaani!
True
 
Back
Top Bottom