Sasa mke wa Makonda ana kosa gani hadi azuiliwe kuingia Marekani?

Sasa mke wa Makonda ana kosa gani hadi azuiliwe kuingia Marekani?

Kuna mtu mmoja kwenye Biblia anaitwa Naaman. Kwa ajili ya kosa lake aliangamizwa yeye pamoja na familia yake yote. Laana inaangamiza familia wakati ni mtu mmoja tu labda aliua mtu. Malipo ni wewe na familia yako.
 
Kwani huyo mke wake ni kwao huko Marekani!! Maza fanta waendeleaa kupora ndinga za watu mjini na kuvimba nayo...na bado what comes next is next level

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani LEMUTUZ yeye anasemaje??😂 King of All Sosho-midia...au haruhusiwi ku-comment uzi huu??

Ila jf bana...uzi wa kuhoji kwann Mrs Makonda kapigwa ban, watu wanasema siyo Mrs Makonda tu peke yake, mpaka Lemutuz naye ban linamuhusu..😂😂😂



Everyday is Saturday.....................😎
 
Back
Top Bottom