Sasa naelewa Kwanini baadhi ya askari wa Israeli ujiua baada ya vita vya Gaza

Sasa naelewa Kwanini baadhi ya askari wa Israeli ujiua baada ya vita vya Gaza

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,406
Reaction score
12,736
Kwa niliyo shuhudia toka 29 Oktoba mpaka leo sasa naelewa kwa nini baadhi ya askari wa Israel hujiua baada ya vita hasa vya Gaza.

Aisee kilicho tokea nchini ni unyama uliopitiliza ambao nimeshuhudia mpaka sasa sipo sawa.

Nawaza kuhusu askari walioshiriki unyama ule hali zao kiafya hasa kiakili zipoje
 
Back
Top Bottom