Kwa niliyo shuhudia toka 29 Oktoba mpaka leo sasa naelewa kwa nini baadhi ya askari wa Israel hujiua baada ya vita hasa vya Gaza.
Aisee kilicho tokea nchini ni unyama uliopitiliza ambao nimeshuhudia mpaka sasa sipo sawa.
Nawaza kuhusu askari walioshiriki unyama ule hali zao kiafya hasa kiakili zipoje