Sasa nahitaji ndoa kuliko kitu kingine chochote. Siwezi tena kusubiri

Haswa ukizingatia mimi ni mtu mwenye kipato kidogo sana naishi kwa kubangaiza japo nna elimu ya masters na nilishawai fanya kazi ofisi kubwa hapo nyuma ila sasa ni jobless najitafuta upya
Sio shida.
Mungu akuonekanie’ mwaka upya ujao baraka zake ziwe juu yako.

After hapo anza kudate basi, kweli upo mfululu singo? Basi anza
 
Mkuu una masters? 40 years ujaoa sababu ya kipato kidogo?

Njoo kariakoo nikuonyeshe Dogo ana miaka17 ana Mke na mtoto mmoja anavyopambana kwenye kimeza chake.

Toa sababu nyingine Kwanini hujaoa mpaka miaka40 na sio suala la kipato.
Akitoa sababu inakusaidia nini mkuu, mtu ameshakiri muda umesogea na sasa amekubali imetosha basi wewe mtie moyo na siyo kumuweka tena kitimoto na maswali kibao yasiyokuwa na msingi
 
Mkuu una masters? 40 years ujaoa sababu ya kipato kidogo?

Njoo kariakoo nikuonyeshe Dogo ana miaka17 ana Mke na mtoto mmoja anavyopambana kwenye kimeza chake.

Toa sababu nyingine Kwanini hujaoa mpaka miaka40 na sio suala la kipato.
Shida ni expectation tu mkuu, wasomi wengi wanapotoka vyuoni huwa wanamatarajio makubwa sana tofauti na ambaye hajasoma.
 
Mkuu una masters? 40 years ujaoa sababu ya kipato kidogo?

Njoo kariakoo nikuonyeshe Dogo ana miaka17 ana Mke na mtoto mmoja anavyopambana kwenye kimeza chake.

Toa sababu nyingine Kwanini hujaoa mpaka miaka40 na sio suala la kipato.
Kwanini umeirudia MA? Kama umebarikiwa cycle yako haina MA ambazo zina hang hang shukuru 🙌🙌
 
Ndoa ni ya mwanamke, mwanamme huwezi kuwa na ndoa fala wewe.
 
Ushauri ninaoweza kukupa ni kupiga goti kwa Mungu wako kwa imani yako......ndoa ni paradiso ukimshirikisha Mungu toka mwanzo, hakikisha unajibiwa kwanza na Mungu. Kama wewe ni mkristo funga hata mwezi mmoja tu majibu utapata
Afunge mwezi mzima
wakati jeshi anasema mwaka hautakiwi upinduke bila ndoa?

Na mwaka unaisha kesho
 
Yaani uamue mwenyewe kuingia kwenye ndoa alafu madini tukupe Sisi ya kumpata anaekufaa??Broo umedata au??alafu sio kitu kwa ajili ya kila MTU wewe ndoa sio fungu lako na wala si dhambi Fanya mambo mengine
 
Mkuu una masters? 40 years ujaoa sababu ya kipato kidogo?

Njoo kariakoo nikuonyeshe Dogo ana miaka17 ana Mke na mtoto mmoja anavyopambana kwenye kimeza chake.

Toa sababu nyingine Kwanini hujaoa mpaka miaka40 na sio suala la kipato.
Yeye amekwambia sababu Ni kipato,Sasa wewe umembishia ndo useme kwanini hajaoa.?
 
Usiwe na haraka sana mkuu kwenye haya mambo kisa msukumo wa watu.

kaa tuliza akili na kuwa makini na machaguo yako.

Mwishowe mwenye kuvuna matokeo ya hiyo ndoa (yawe mazuri au mabaya) ni wewe binafsi sio hao wanaokusukuma.
Sawa mkuu nimekuelewa ila umri nao umenitupa mkono sana wa kuinjoi familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…