Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

Kweli
 
Mkuuu akiwekewa mpunga mrefu mezani.... anarud faster tu clouds.... money is every thing
 
Nikuulize maswali mawili tu.
1. Je, unajua vifaa vya clouds TV na FM vilitoka wapi!?

2. Je sakata la uvamizi wa clouds TV unajua mission behind!?

So ukijua vifaa vya clouds vilitoka wapi ndipo utajua mission behind ya sakata la uvamizi.
Tuondokee na ngonjera zako kama huna ishu za maana usitufanye sisi wanafunzi wako hatjko hapa kujibu maswali. Kama una facts mwaga hapa
 
wale jamaa ambao kwa sasa wanaiongoza ile taasisi ni watu watu wepesi sana hawaiwezi ile kazi

just imagine seba maganga ndio program director na shafih dauda ndio program manager

upande wa creativity pia wapo watu wepesi mnooooo
Wamekuta brandy ishatengenezwa na kukua sasa wao wanaiendesha ki ujanja ujanja tu bila weledi na ubunifu.

Kimsingi hakuna wanachokifanya pale maana brandy inajisimamia yenyewe. Sasa kwa hizi changamoto ndogo ndogo na ushindani wanaoupata ndio uwezo wao unaonekana ulivyo wa kiwango cha chini.
 

Habari inawezakuwa ya kweli lakini Msimamizi mkuu wa clouds ni mdogo wake kusaga. Dada mmoja jeuri balaa.
 
Mbona clouds inafanya vizuri tu
Au kusitisha fiesta Dar
 
SCANAD ni kampuni inayojihusisha na nini
 

Kwa akili yao wanaona media ni kama duka unaweza kuliua duka la familia leo ukafungua la kwako na baada ya miezi mitatu likafanya vizuri, hawaijui struggle yakuestablish media house hadi ianze kufanya vizuri.

Mtu kama Joe anafahamu the hustle behind it, hivyo hawezi risk media kongwe eti kwasababu anaestablish media mpya! Anafahamu Wasafi media itawachukua miaka kadhaa kupata coverage iliyonayo Clouds leo hii, sasa aiue CMG mapema yote hii ili afaidike vipi? ikitokea akaiua Clouds na Wasafi isisimame Je?, Je nguvu za kimwili na kiakili alizokuwa nazo wakati wakuisimamisha clouds ataendelea kuwa nazo milele? Mi nadhani hakuna mfanyabiashara anayeweza kuchukua uncalculated risk za namna hiyo, Yule jamaa ako na brain angeweza kufanya vinginevyo na kusiwe na madhara kokote.

Kwa maoni yangu naona CMG inaweza kuwa na matatizo mengi ndani yake ila sio kuhujumiwa na mmoja wa wamiliki wake.


Bottom line, hili la mmiliki wa Wasafi media kwanini wanalazimisha tumtambue ni Joe tu mara Diamond ni kibaraka tu anatumwa, kwani hawajui kuwa company inaweza kuwa na mmliki mmoja na kuendelea? Btw, how a grown up man or woman anaweza kufikiria Diamond anamiliki 2% katika wasafi TV & FM? How? Unadhani kuna mfanyabiashara yeyote atamfata Diamond amwambie tuwekeze kwa Brand yako then nikupe 2% ya shares zote? Diamond ni zuzu ama hajui kubargain au hajui thamani ya brand yake aliyeitengeneza kwa jasho kwa muda mrefu? Najiuliza watu wa namna hii wanafikiria kwa kutumia ubongo kweli? Je wamewahi kujaribu kutengeneza brand ikakubalika hata katika ngazi ya kitongoji? Mi nafikiri waTz tujifunze kufikiri sawasawa.
 
Haiingii akilini kabisaa pale labda Wamegawana 50 na kusagaa...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…