Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

Issue ya clouds ipo complicated sana.
Clouds TV na Clouds FM waulize mitambo waliipata wapi!? Kuna organization fulani mitambo hiyo ilitoka. Ni suala la muda tu. Hayo nayo yataripuka Ruge analijua hilo. Hata vifaa vya THT vilitolewa kwaajili ya wasanii wote.

Kuhusu Wasafi TV taarifa zote zipo wazi TCRA. Kwenye document za TCRA wamilki wapo watatu. Mwanamke mmoja ambaye anasadikika ni mke wa Kusaga 50% Nasibu 48% na mwingine 2%.
Tafuta document za TCRA.
Kweli
 
hawezi kurudi mambo yalishakuwa personal ruge alimtenda vibaya mama watoto wa NCHA KALI (dina marios) akamtimua kazi kisa mchepuko wake zamaradi

nimefanya kazi na SCANAD juzi hapa na nikapata wasaa wa kuzungumza na ncha kali (mambo ya design ya kazi yenyewe) kwa jinsi anavyoonekana anavyofurahia kazi yake SCANAD sidhani kama ni mtu wa kuondoka anytime soon
Mkuuu akiwekewa mpunga mrefu mezani.... anarud faster tu clouds.... money is every thing
 
Nikuulize maswali mawili tu.
1. Je, unajua vifaa vya clouds TV na FM vilitoka wapi!?

2. Je sakata la uvamizi wa clouds TV unajua mission behind!?

So ukijua vifaa vya clouds vilitoka wapi ndipo utajua mission behind ya sakata la uvamizi.
Tuondokee na ngonjera zako kama huna ishu za maana usitufanye sisi wanafunzi wako hatjko hapa kujibu maswali. Kama una facts mwaga hapa
 
wale jamaa ambao kwa sasa wanaiongoza ile taasisi ni watu watu wepesi sana hawaiwezi ile kazi

just imagine seba maganga ndio program director na shafih dauda ndio program manager

upande wa creativity pia wapo watu wepesi mnooooo
Wamekuta brandy ishatengenezwa na kukua sasa wao wanaiendesha ki ujanja ujanja tu bila weledi na ubunifu.

Kimsingi hakuna wanachokifanya pale maana brandy inajisimamia yenyewe. Sasa kwa hizi changamoto ndogo ndogo na ushindani wanaoupata ndio uwezo wao unaonekana ulivyo wa kiwango cha chini.
 
wla nisiende mbali,mmiliki ni kusaga ,kwenye documents za brela tcra anatumia jina la mzee tyson ana asilimia 92,diamond ana 8
majuzi kuna watu wakawa wanasema hii beef ni ya uongo kutengeneza pesa,beef ya uongo halfu watu wengine wakubali kuitwa hawana marinda?
kibali kimefutwa mmeamini sasa?joe kusaga mwenyewe angekuwa serious na clouds tena show ingepigika tu,Joe hana time nao,Ruge anaumwa waliobaki pale wanyonge hakuna mwenye connection,DAB juzi alikuwa anawachora tu kinyongo bado ancho anajua tangu avamie clouds umaarufu wake ulianza kuporomoka pale na shilawadu walivyoendelea kumponda mara ananuka mdomo na miguu
Issue iko hivi kwa wasiojua,clouds media ni mali ya marehemu mzee kusaga kwa hiyo watoto wote akiwemo Joe kusaga wana shares wako watano
Joe akaona baadaye yeye anapiga kazi kubwa at the end of the day kuna kugawana,akaanza juhudi kama kuanzisha clouds international huko dubai wapi aanakula hasara tu na ni mjanja wa kusoma nyakati alianza kuona clouds inavyopoteza mvuto thats why akarukia kwa diamond kutumia jina lake ukweli ni kwamba hela nyingi inaenda kwake
kwa wanaojua ndugu wa Joe,ni wajeuri kwelikweli hata Ruge kuna kipindi alidai apewe share asilimia 5 wakakataa so analipwa mshahara tu kwa hiyo kwa kilichotokea leo nafikiri ndugu zake wamepata LESSON KUBWA SANA,hakuna clouds bila Ruge wala Joe kusaga
Yes jamaa bado ataendela kula share zake clouds lakini haweki nguvu yake pale thats why alihamia dubai nafasi yake ikachukuliwa na Ruge,nafasi ya Ruge ikachukuliwa na seba maganga,nafasi ya seba ikachukuliwa na shaffih dauda
sasa angalia Seba na shaffih dauda walivyopwaya kwenye hii issue ,inasikitisha lakini pia inachekesha sana maana ubaya hawa jamaa waliofanyiaga watu huko nyuma ni mkubwa sana

Habari inawezakuwa ya kweli lakini Msimamizi mkuu wa clouds ni mdogo wake kusaga. Dada mmoja jeuri balaa.
 
Hili ndiyo tatizo la Mwafrica, taasisi kubwa kama clouds kutengemea mtu mmoja ni ujuha yaani huyo mtu asipo kuwepo inamaana hamna taasisi (clouds)?

Angalia kama Apple muanzilishi alisha kufa kitambo lakini bado kampuni inafanya vizuri..

Niseme sisi hatuna vision au hatuna plan za mbele miaka 50 ijayo tunaangalia kesho itakuaje badala ya kuweka malengo ya mbele..

Poorest Africa
Mbona clouds inafanya vizuri tu
Au kusitisha fiesta Dar
 
hawezi kurudi mambo yalishakuwa personal ruge alimtenda vibaya mama watoto wa NCHA KALI (dina marios) akamtimua kazi kisa mchepuko wake zamaradi

nimefanya kazi na SCANAD juzi hapa na nikapata wasaa wa kuzungumza na ncha kali (mambo ya design ya kazi yenyewe) kwa jinsi anavyoonekana anavyofurahia kazi yake SCANAD sidhani kama ni mtu wa kuondoka anytime soon
SCANAD ni kampuni inayojihusisha na nini
 
Unaongea kwa sauti ya Mange Kimambi!!

Mambo mengine ni ya kutumia common sense tu!

Yaani unaamini kabisa Joseph Kusaga anaweza kuhujumu a well established family company aliyoitolea jasho since Day 1 kwa sababu tu, according to Mange, ameamua kuanzisha media house nyingine?

Hivi kwa akili yako unadhani Joe hana share za kutosha pengine kuliko mwanafamilia mwingine yeyote yule pale Clouds?! Hivi unaamini kabisa katika mazingira kama hayo anaweza kuthubutu kuiangamiza wakati at family level, Joe ndo Clouds na Clouds ndo Joe?! Hivi unaamini anaweza kuiua media yenye coverage nchi nzima huku ikifanya shughuli zingine nje ya nchi na anafanya hivyo kwa sababu ya Wasafi ambayo radio yake mwisho Dar es salaam na itawachukua zaidi ya mwaka kupata leseni ya nchi nzima!

Assume wewe ndo Joseph Kusaga; ungeweza kufanya upumbavu kama huo?!

Again, ikiwa hata nyie msiefahamu shareholding ya Clouds tayari mnafahamu eti Joe anaihujumu Clouds ifo Wasafi!! Ina maana hadi leo Kusaga Family hawajafahamu kwamba Joe anawahumu ikiwa hata akina nyie tayari mnafahamu?!

Hivi inaingia akilini kwamba wangeendelea kumuacha aiongoze Clouds wakati wanafahamu ana lengo la kuiua?! Yaani mnaamini kabisa kwamba Mange anaweza kupata inside info za Clouds lakini Kusaga Family washindwe?

Btw, Joe aki-fight kupata kibali cha Fiesta Dar kunaiporomosha vp Wasafi Media? Au ndo kwavile Mange kawaambia Joe anataka kuiua Clouds?!

Mashabiki wa Mange na wa Le Mutuz mpo kama kokoro vile! Yaani mnameza kila mnachoambiwa bila ku-digest!

Kwa akili yao wanaona media ni kama duka unaweza kuliua duka la familia leo ukafungua la kwako na baada ya miezi mitatu likafanya vizuri, hawaijui struggle yakuestablish media house hadi ianze kufanya vizuri.

Mtu kama Joe anafahamu the hustle behind it, hivyo hawezi risk media kongwe eti kwasababu anaestablish media mpya! Anafahamu Wasafi media itawachukua miaka kadhaa kupata coverage iliyonayo Clouds leo hii, sasa aiue CMG mapema yote hii ili afaidike vipi? ikitokea akaiua Clouds na Wasafi isisimame Je?, Je nguvu za kimwili na kiakili alizokuwa nazo wakati wakuisimamisha clouds ataendelea kuwa nazo milele? Mi nadhani hakuna mfanyabiashara anayeweza kuchukua uncalculated risk za namna hiyo, Yule jamaa ako na brain angeweza kufanya vinginevyo na kusiwe na madhara kokote.

Kwa maoni yangu naona CMG inaweza kuwa na matatizo mengi ndani yake ila sio kuhujumiwa na mmoja wa wamiliki wake.

Bottom line, hili la mmiliki wa Wasafi media kwanini wanalazimisha tumtambue ni Joe tu mara Diamond ni kibaraka tu anatumwa, kwani hawajui kuwa company inaweza kuwa na mmliki mmoja na kuendelea? Btw, how a grown up man or woman anaweza kufikiria Diamond anamiliki 2% katika wasafi TV & FM? How? Unadhani kuna mfanyabiashara yeyote atamfata Diamond amwambie tuwekeze kwa Brand yako then nikupe 2% ya shares zote? Diamond ni zuzu ama hajui kubargain au hajui thamani ya brand yake aliyeitengeneza kwa jasho kwa muda mrefu? Najiuliza watu wa namna hii wanafikiria kwa kutumia ubongo kweli? Je wamewahi kujaribu kutengeneza brand ikakubalika hata katika ngazi ya kitongoji? Mi nafikiri waTz tujifunze kufikiri sawasawa.
 
Haiingii akilini kabisaa pale labda Wamegawana 50 na kusagaa...!!
 
Back
Top Bottom