B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,357
- 4,390
How come awe na 100% wakati hata sheria hairuhusu?!hongera sana kwa nondo kali,weka basi wewe docs za kuonesha domo an asilimia mia
Hapo juu kuna pahala nilimwambia Annael kwamba huwa sipendi kuongelea mambo yasiyo na reference na nilitolea mfano wa Coconut FM. Hapo kabla ilisemekana kwamba, Wasafi walinunua mitambo iliyokuwa inatumika na Coconut FM!View attachment 945273usiuchezeee huu mchezo weweeee
Si uweke hapa hizo documents..??Issue ya clouds ipo complicated sana.
Clouds TV na Clouds FM waulize mitambo waliipata wapi!? Kuna organization fulani mitambo hiyo ilitoka. Ni suala la muda tu. Hayo nayo yataripuka Ruge analijua hilo. Hata vifaa vya THT vilitolewa kwaajili ya wasanii wote.
Kuhusu Wasafi TV taarifa zote zipo wazi TCRA. Kwenye document za TCRA wamilki wapo watatu. Mwanamke mmoja ambaye anasadikika ni mke wa Kusaga 50% Nasibu 48% na mwingine 2%.
Tafuta document za TCRA.
Hahahaha, hapo ktk mitambo hapo ...Issue ya clouds ipo complicated sana.
Clouds TV na Clouds FM waulize mitambo waliipata wapi!? Kuna organization fulani mitambo hiyo ilitoka. Ni suala la muda tu. Hayo nayo yataripuka Ruge analijua hilo. Hata vifaa vya THT vilitolewa kwaajili ya wasanii wote.
Kuhusu Wasafi TV taarifa zote zipo wazi TCRA. Kwenye document za TCRA wamilki wapo watatu. Mwanamke mmoja ambaye anasadikika ni mke wa Kusaga 50% Nasibu 48% na mwingine 2%.
Tafuta document za TCRA.
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.
Coconut FM ya Zanzibar inatumia mwimbi ya 88.9. Juzi wanatangaza wanaachana na mawimbi hayo na kuanzisha mapya.
Unajua mmiliki wa coconut fm ni nani!? Na hayo mawimbi 88.9 yanamilkiwa na nani!?
Draft limeshachorwa. Watabaki wengine gizani tu. Kama wewe hapa. Wajanja tunajua.
Hahahaha, hasa ya TV ,ila ngoja niendelee kusoma hoja zakoNikuulize maswali mawili tu.
1. Je, unajua vifaa vya clouds TV na FM vilitoka wapi!?
2. Je sakata la uvamizi wa clouds TV unajua mission behind!?
So ukijua vifaa vya clouds vilitoka wapi ndipo utajua mission behind ya sakata la uvamizi.
Hahahaha, we jamaa weweWatu wanapewa dots kisha wanaunganisha wenyewe.
Clouds ilikuwa ni uwanja wa mapambano tu. Wengine walikuwa wakisema walikuwa wanalala maporini.
Hahahaha, hoja zako ziko vzr ila ngumu kueleweka kwa unavyotakaVuta kumbukumbu ya Hamorapa kukimbia siku waandishi wa habari waliitwa na kuhusu ufunguzi wa Ubungo flyover.
Kwahiyo clouds wanategemea fiesta tu?? Mbona IPP hawana matamasha na wapo sokoni zaidi ya miaka 20?Kwa kifupi anguko linakuja
Watu wapuuzi...utafikiri hiyo fiesta inafayika kila siku katika mwaka...mengine yotee hawayaoni!!Mbona clouds inafanya vizuri tu
Au kusitisha fiesta Dar
"Tusikaushane uzazi" we ni ME au KE mkuu?Na ni zaidi ya 50 sababu kama pesa ya ku establish media anayo kama brand anayo sasa kusaga ana kipi cha kumzidi diamond mpaka yeye ndio awe top kwa wasafi media? Diamond ana kila kitu cha kuweza kusimamisha media yake pasi na kutegemea nguvu ya mtu. Media kaweza kusimamisha Dialo na dj majizo tena media kubwa tu atashindwaje Diamond? Tusikaushane uzazi bhana huyo kusaga nafikiri ndie anatembelea nyota ya diamond kama ushauri nk na asilimia atakuwa na chache tu.
Nini unaongea hapa?,Ukila na mnafiki ujue ipo siku unafiki huo utakuathiri, mimi ndiyo maana huwa sipendi kabisa kujiingiza kwenye mambo ya siasa. Wanasiasa wengi ni wanafiki hawana future! Wanaangalia kwenye pua!
Haaaa a haaaa haaaa jamaniTuondokee na ngonjera zako kama huna ishu za maana usitufanye sisi wanafunzi wako hatjko hapa kujibu maswali. Kama una facts mwaga hapa
Shindwa pepoBora Diamond ana hata hiyo 8, mtoa mada unangapi?
Vipi umekula kwanza?
msingi wa clouds ilikuwa kupewa favour na serikali na ccm haswa awamu ya nne,unajua hata majukwaa kwenye issue za ccm na promo walikuwa wanapewa prime time,kampuni mama ya clouds iliyo chini ya God kusaga?ilikuwa ni mwendo wa kula mamilioni
Kikwete alitoa studio isaidie wasanii Ruge akataifisha leo imekuwa ya tht,kipindi hicho Ruge anapiga simu anytime kwa waziri au RPC au yeyote yule kukiwa na kizingiti,hii issue ilikuwa ndogo sana kwa Ruge na Joe kusaga sema Joe kaamua kukausha maana anaingiza mamilioni yake wasafi huko,last year DAB alisema iishe saa sita uliona Ruge alivyopambana hadi ikulu kitu kikakesha??/
Kupitia hiyo Google nimeandika Billy The Goat lakini sikuweza kuona wewe ni nani.!Kuna Kitu kinaitwa Google..embu jaribu kutype Hilo swali lako pale then urudi hapa
tv ya salaam ulishaona hata ikirusha kitu live?ina ob van hata moja kweli/tv kama za salaam zipo nyingi sana huko ting,kuna za wahubiri feki sijui arise and sunshine kuna morning star ukija starttimes kuna nyingine inaitwa jason tv we unazijua hizo?hizo hata wewe ukitaka unafanya mbona?Huyo dada analisha watu matango pori.Yaani SALAM_SK aweze kumiliki TV halafu Nasib Abdul ashindwe.Kweli amewashika wafuasi wake.
Kwa hiyo kwako TV, lazima iwe na van?Tatizo lako chuki imefunika macho yako, muda huu Arise and Shine (startimes chanell 117), WRM (startimes channel 119) wanarusha ibada zao live, sasa sijajua unataka live gani.tv ya salaam ulishaona hata ikirusha kitu live?ina ob van hata moja kweli/tv kama za salaam zipo nyingi sana huko ting,kuna za wahubiri feki sijui arise and sunshine kuna morning star ukija starttimes kuna nyingine inaitwa jason tv we unazijua hizo?hizo hata wewe ukitaka unafanya mbona?