Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

hongera sana kwa nondo kali,weka basi wewe docs za kuonesha domo an asilimia mia
How come awe na 100% wakati hata sheria hairuhusu?!

Na wala hakuna anayesema Diamond anamiliki Wasafi Media peke yake kwa sababu hakuna biashara za namna hiyo duniani kote unless kama ni biashara ya kuuza mchicha na nyanya Kariakoo! Na wala hakuna anayesema Kusaga hana hisa Wasafi Media kwa sababu, Kusaga ni mtu ambae anapenda sana kutumia brand kubwa za wenzake kufanya biashara kama ambavyo wengine wanavyoenda kutumia brand kubwa ya kwake pale Clouds!

Of course kwavile Kusaga mjanja, anaweza kutumia brand ya msanii kwa kumpa hisa kidogo lakini msanii huyo kamwe hawezi kuwa Diamond kwa sababu yule jamaa mpende au mchukie, ni mjanja kwenye biashara na ni mtu asiependa kutumika!! Hivi hujiulizi ni kwanini hata endorsement zake zinatoka kwenye kampuni kubwa kama Coca Cola na Vodacom?! Sio kwamba kampuni zingine hazimfuata lakini wanashindwa kufika bei!

Aidha ndo sababu hata Bongo hivi sasa alikuwa hapigi shows... unadhani watu walikuwa hawataki wapande majukwaa yao? Kote huko ni kwa sababu wanashindwa kufika bei!! Na ndio maana hata Wasanii wa Kenya wanalalamika sana siku hizi... jamaa akienda Kenya mpunga anaolipwa ni zaidi ya mara 5 ya mpunga anayelipwa msanii wa Kenya!

Sasa unadhani msanii wa aina hiyo unaweza kumdaganya na 8% ya shares? Wakati huo investment yenyewe ni bilioni mia ngapi?! Mbaya zaidi, Diamond alikuwa na nia ya kuanzisha TV way back 2014; manake labda kama umemkurupusha from nowhere na idea kwamba muanzishe tv na utampa 8%; at least it can make sense!!!
 
View attachment 945273usiuchezeee huu mchezo weweeee
Hapo juu kuna pahala nilimwambia Annael kwamba huwa sipendi kuongelea mambo yasiyo na reference na nilitolea mfano wa Coconut FM. Hapo kabla ilisemekana kwamba, Wasafi walinunua mitambo iliyokuwa inatumika na Coconut FM!

I hope unafahamu Coconut ni ya nani!

That's one but two, ndugu yangu hayo mambo ni ya kawaida sana kwenye media! Labda kama siku hizi TCRA wamepiga marufuku lakini zamani wafanyabiashara walikuwa wananunua masafa (frequencies) halafu wanakaa nayo! Days later akitokea mwenye mpunga wake na anapendelea masafa kwenye range fulani; basi aidha utamuuzia hayo masafa au mnafanya ubia!!

Kwahiyo kinachoonekana hapo juu ni umiliki wa masafa kama yalivyosajiriwa TCRA. Masafa ambayo, Clouds wanaweza wakawa wameyauza au kuingia ubia na Wasafi... ni mchakato wa kawaida wa biashara!!
 
Issue ya clouds ipo complicated sana.
Clouds TV na Clouds FM waulize mitambo waliipata wapi!? Kuna organization fulani mitambo hiyo ilitoka. Ni suala la muda tu. Hayo nayo yataripuka Ruge analijua hilo. Hata vifaa vya THT vilitolewa kwaajili ya wasanii wote.

Kuhusu Wasafi TV taarifa zote zipo wazi TCRA. Kwenye document za TCRA wamilki wapo watatu. Mwanamke mmoja ambaye anasadikika ni mke wa Kusaga 50% Nasibu 48% na mwingine 2%.
Tafuta document za TCRA.
Si uweke hapa hizo documents..??
Bila kuweka evidence na ww ni wale wale
 
Issue ya clouds ipo complicated sana.
Clouds TV na Clouds FM waulize mitambo waliipata wapi!? Kuna organization fulani mitambo hiyo ilitoka. Ni suala la muda tu. Hayo nayo yataripuka Ruge analijua hilo. Hata vifaa vya THT vilitolewa kwaajili ya wasanii wote.

Kuhusu Wasafi TV taarifa zote zipo wazi TCRA. Kwenye document za TCRA wamilki wapo watatu. Mwanamke mmoja ambaye anasadikika ni mke wa Kusaga 50% Nasibu 48% na mwingine 2%.
Tafuta document za TCRA.
Hahahaha, hapo ktk mitambo hapo ...
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.
Coconut FM ya Zanzibar inatumia mwimbi ya 88.9. Juzi wanatangaza wanaachana na mawimbi hayo na kuanzisha mapya.
Unajua mmiliki wa coconut fm ni nani!? Na hayo mawimbi 88.9 yanamilkiwa na nani!?
Draft limeshachorwa. Watabaki wengine gizani tu. Kama wewe hapa. Wajanja tunajua.
Nikuulize maswali mawili tu.
1. Je, unajua vifaa vya clouds TV na FM vilitoka wapi!?

2. Je sakata la uvamizi wa clouds TV unajua mission behind!?

So ukijua vifaa vya clouds vilitoka wapi ndipo utajua mission behind ya sakata la uvamizi.
Hahahaha, hasa ya TV ,ila ngoja niendelee kusoma hoja zako
Watu wanapewa dots kisha wanaunganisha wenyewe.
Clouds ilikuwa ni uwanja wa mapambano tu. Wengine walikuwa wakisema walikuwa wanalala maporini.
Hahahaha, we jamaa wewe
Vuta kumbukumbu ya Hamorapa kukimbia siku waandishi wa habari waliitwa na kuhusu ufunguzi wa Ubungo flyover.
Hahahaha, hoja zako ziko vzr ila ngumu kueleweka kwa unavyotaka

Ningechangia japo kdg ,ila Uzi uko vzr kuna hoja na vihoja ndani yake
 
Na ni zaidi ya 50 sababu kama pesa ya ku establish media anayo kama brand anayo sasa kusaga ana kipi cha kumzidi diamond mpaka yeye ndio awe top kwa wasafi media? Diamond ana kila kitu cha kuweza kusimamisha media yake pasi na kutegemea nguvu ya mtu. Media kaweza kusimamisha Dialo na dj majizo tena media kubwa tu atashindwaje Diamond? Tusikaushane uzazi bhana huyo kusaga nafikiri ndie anatembelea nyota ya diamond kama ushauri nk na asilimia atakuwa na chache tu.
"Tusikaushane uzazi" we ni ME au KE mkuu?
 
Ukila na mnafiki ujue ipo siku unafiki huo utakuathiri, mimi ndiyo maana huwa sipendi kabisa kujiingiza kwenye mambo ya siasa. Wanasiasa wengi ni wanafiki hawana future! Wanaangalia kwenye pua!
Nini unaongea hapa?,
 
Wenda uko sahihi mpaka bro Pasco kalike.

msingi wa clouds ilikuwa kupewa favour na serikali na ccm haswa awamu ya nne,unajua hata majukwaa kwenye issue za ccm na promo walikuwa wanapewa prime time,kampuni mama ya clouds iliyo chini ya God kusaga?ilikuwa ni mwendo wa kula mamilioni
Kikwete alitoa studio isaidie wasanii Ruge akataifisha leo imekuwa ya tht,kipindi hicho Ruge anapiga simu anytime kwa waziri au RPC au yeyote yule kukiwa na kizingiti,hii issue ilikuwa ndogo sana kwa Ruge na Joe kusaga sema Joe kaamua kukausha maana anaingiza mamilioni yake wasafi huko,last year DAB alisema iishe saa sita uliona Ruge alivyopambana hadi ikulu kitu kikakesha??/
 
Huyo dada analisha watu matango pori.Yaani SALAM_SK aweze kumiliki TV halafu Nasib Abdul ashindwe.Kweli amewashika wafuasi wake.
tv ya salaam ulishaona hata ikirusha kitu live?ina ob van hata moja kweli/tv kama za salaam zipo nyingi sana huko ting,kuna za wahubiri feki sijui arise and sunshine kuna morning star ukija starttimes kuna nyingine inaitwa jason tv we unazijua hizo?hizo hata wewe ukitaka unafanya mbona?
 
tv ya salaam ulishaona hata ikirusha kitu live?ina ob van hata moja kweli/tv kama za salaam zipo nyingi sana huko ting,kuna za wahubiri feki sijui arise and sunshine kuna morning star ukija starttimes kuna nyingine inaitwa jason tv we unazijua hizo?hizo hata wewe ukitaka unafanya mbona?
Kwa hiyo kwako TV, lazima iwe na van?Tatizo lako chuki imefunika macho yako, muda huu Arise and Shine (startimes chanell 117), WRM (startimes channel 119) wanarusha ibada zao live, sasa sijajua unataka live gani.
 
Back
Top Bottom