GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hakika Mkuu.Wametuchosha sana hawa
Kunammmoja mdadaaa anakanisaa frikanaa mkuuuHongeni muwezavyo na Rogeni muwezavyo ila Nguvu ya Mitandao haijawahi Kushindwa na Wapuuzi Duniani.
Tofauti yenu na huyu Kiboko ya Wachawi mi ndogo sana ila nyote tu mnaogelea Bahari moja.
Tumewachoka na hatuwataki Tanzania kwani mmeharibu mno Akili za Watanzania na kuwazidishia Umasikini huku mkiendelea tu Kuwarubuni.
Tumeanza na huyu Mwenzenu na tukimaliza tunakuja Kwenu na bahati nzuri nyie ni wa hapo hapo Nyumbani Tanzania hivyo Mafaili yenu Mabaya tunayo na yapo.
Tumewavumilieni vya Kutosha Okay?
Tony kapola kachafua Hali ya hewa na NifferTuwe makini tusivunje uhuru wa kuabudu kama katiba ya nchi inavyo sema.
Kiboko ya wachawi kilichomponza ni ushambaHongeni muwezavyo na Rogeni muwezavyo ila Nguvu ya Mitandao haijawahi Kushindwa na Wapuuzi Duniani.
Tofauti yenu na huyu Kiboko ya Wachawi mi ndogo sana ila nyote tu mnaogelea Bahari moja.
Tumewachoka na hatuwataki Tanzania kwani mmeharibu mno Akili za Watanzania na kuwazidishia Umasikini huku mkiendelea tu Kuwarubuni.
Tumeanza na huyu Mwenzenu na tukimaliza tunakuja Kwenu na bahati nzuri nyie ni wa hapo hapo Nyumbani Tanzania hivyo Mafaili yenu Mabaya tunayo na yapo.
Tumewavumilieni vya Kutosha Okay?
Ya kweli hayo? Kuna connection??Tony kapola kachafua Hali ya hewa na Niffer
Mh jamani waja...Ya kweli hayo? Kuna connection??
I have also been asking this for a long time!!Waeleze waende mahospitalini wakaombee waliolazwa hoi ili wapone muda huohuo ili waruhisiwe kwenda makwao uone ugomvi