Sasa ni Agenda Maalum hatuishii tu kwa Kiboko ya Wachawi, ila akina Mwamposa na Mwasha nanyi mtafuata

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hongeni muwezavyo na Rogeni muwezavyo ila Nguvu ya Mitandao haijawahi Kushindwa na Wapuuzi Duniani.

Tofauti yenu na huyu Kiboko ya Wachawi mi ndogo sana ila nyote tu mnaogelea Bahari moja.

Tumewachoka na hatuwataki Tanzania kwani mmeharibu mno Akili za Watanzania na kuwazidishia Umasikini huku mkiendelea tu Kuwarubuni.

Tumeanza na huyu Mwenzenu na tukimaliza tunakuja Kwenu na bahati nzuri nyie ni wa hapo hapo Nyumbani Tanzania hivyo Mafaili yenu Mabaya tunayo na yapo.

Tumewavumilieni vya Kutosha Okay?
 
Kunammmoja mdadaaa anakanisaa frikanaa mkuuu

Kajaaa makazi mapyaa mbezibeach kaonana na wajumbe kashaa wakala.mpunga wakened akaombaa

Wamtafutiee waumini wakifika 30 atakuwa anawaletea basi la kwenda na kuwarudisha na chakula mchana

Patamuuu

Episode 3 inaendelea
 
Tatizo wanawake wa Tanzania ni wajinga sana kuliko kumbe chochote.Maana ndiyo Huwa wanatoa ushuhuda wa uwongo kuwa wamepona Kwa mwamposa.mmoja anaenda na magongo ya miti akijifanya mlemavu wakati siyo mlemavu na kuuaminisha umma amepona Kwa maombi.wanawake wa Tanzania hasa ma single mother Huwa yanatoa shuhuda za uwongo kuwa wamepona Kwa mwamposa
 
Hongeni muwezavyo na Rogeni muwezavyo ila Nguvu ya Mitandao haijawahi Kushindwa na Wapuuzi Duniani.

Tofauti yenu na huyu Kiboko ya Wachawi mi ndogo sana ila nyote tu mnaogelea Bahari moja.

Tumewachoka na hatuwataki Tanzania kwani mmeharibu mno Akili za Watanzania na kuwazidishia Umasikini huku mkiendelea tu Kuwarubuni.

Tumeanza na huyu Mwenzenu na tukimaliza tunakuja Kwenu na bahati nzuri nyie ni wa hapo hapo Nyumbani Tanzania hivyo Mafaili yenu Mabaya tunayo na yapo.

Tumewavumilieni vya Kutosha Okay?
Kiboko ya wachawi kilichomponza ni ushamba
Angeacha ushamba angefika mbali
Angekula sana hela za misukule
Ushamba umemcost
 
Tulishasema hao manabii na mitume ni matapeli waliokubuhu hawafai, wezi, Wala rushwa yaani wakiamka tu wanajiita mara nabii, mara mtume na wanaokwenda kwenye makanisa yao ni wasio na akili timamu na waliojikatia tamaa
 
Back
Top Bottom