GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hongeni muwezavyo na Rogeni muwezavyo ila Nguvu ya Mitandao haijawahi Kushindwa na Wapuuzi Duniani.
Tofauti yenu na huyu Kiboko ya Wachawi mi ndogo sana ila nyote tu mnaogelea Bahari moja.
Tumewachoka na hatuwataki Tanzania kwani mmeharibu mno Akili za Watanzania na kuwazidishia Umasikini huku mkiendelea tu Kuwarubuni.
Tumeanza na huyu Mwenzenu na tukimaliza tunakuja Kwenu na bahati nzuri nyie ni wa hapo hapo Nyumbani Tanzania hivyo Mafaili yenu Mabaya tunayo na yapo.
Tumewavumilieni vya Kutosha Okay?