Sasa ni Agenda Maalum hatuishii tu kwa Kiboko ya Wachawi, ila akina Mwamposa na Mwasha nanyi mtafuata

Sasa ni Agenda Maalum hatuishii tu kwa Kiboko ya Wachawi, ila akina Mwamposa na Mwasha nanyi mtafuata

Hongeni muwezavyo na Rogeni muwezavyo ila Nguvu ya Mitandao haijawahi Kushindwa na Wapuuzi Duniani.

Tofauti yenu na huyu Kiboko ya Wachawi mi ndogo sana ila nyote tu mnaogelea Bahari moja.

Tumewachoka na hatuwataki Tanzania kwani mmeharibu mno Akili za Watanzania na kuwazidishia Umasikini huku mkiendelea tu Kuwarubuni.

Tumeanza na huyu Mwenzenu na tukimaliza tunakuja Kwenu na bahati nzuri nyie ni wa hapo hapo Nyumbani Tanzania hivyo Mafaili yenu Mabaya tunayo na yapo.

Tumewavumilieni vya Kutosha Okay?
Wamevunja familia za watu wengi, ndoa nyingi, wamefarakanisha ndugu, wamewafanya wateja wao kuwa misukule yao, wanakatazwa kuzika hata majirani, kushiriki shughuli za kifamila, wanawaambia wao wameshatenga na mizimu Yao hivyo waachane na dunia hii, eti wanaandaliwa dunia mpya ya hapa sio Yao! Kifupi manabii hawa wameleta majanga Sana kwenye ndoa, na wako tayari wakae na kuwafungia wake za watu hata mwezi bila mawasiliano na ndugu wanawapeleka maporini eti kutafuta kondoo, watu wanakonda, wanakuwa kama vichaa, na Sisi watanzania tunaangalia tu!! Kwa kweli hawa manabii wafungiwe kabisa, la sivyo kuna hatari mbele.
 
Tatizo wanawake wa Tanzania ni wajinga sana kuliko kumbe chochote.Maana ndiyo Huwa wanatoa ushuhuda wa uwongo kuwa wamepona Kwa mwamposa.mmoja anaenda na magongo ya miti akijifanya mlemavu wakati siyo mlemavu na kuuaminisha umma amepona Kwa maombi.wanawake wa Tanzania hasa ma single mother Huwa yanatoa shuhuda za uwongo kuwa wamepona Kwa mwamposa
Ungetumia neno ni Wapumbavu ningefurahi zaidi Mkuu.
 
Tulishasema hao manabii na mitume ni matapeli waliokubuhu hawafai, wezi, Wala rushwa yaani wakiamka tu wanajiita mara nabii, mara mtume na wanaokwenda kwenye makanisa yao ni wasio na akili timamu na waliojikatia tamaa
Watu wakiambiwa hawasikii wala kuelewa

Ova
 
Hongeni muwezavyo na Rogeni muwezavyo ila Nguvu ya Mitandao haijawahi Kushindwa na Wapuuzi Duniani.

Tofauti yenu na huyu Kiboko ya Wachawi mi ndogo sana ila nyote tu mnaogelea Bahari moja.

Tumewachoka na hatuwataki Tanzania kwani mmeharibu mno Akili za Watanzania na kuwazidishia Umasikini huku mkiendelea tu Kuwarubuni.

Tumeanza na huyu Mwenzenu na tukimaliza tunakuja Kwenu na bahati nzuri nyie ni wa hapo hapo Nyumbani Tanzania hivyo Mafaili yenu Mabaya tunayo na yapo.

Tumewavumilieni vya Kutosha Okay?
THUBUTU, piga ua CCM haitakubali kwani buldoza ni kitovu cha maokoto, mkiambiwa CCM ni chama korapti kinapenda vya bure hamuelewi.
 
Lini Mwamposa kamtaja kwa jina mtu anayedaiwa kumroga mtu! Yeye ni kuponya tu hakuna ramli chonganishi, na watu wanaponywa shida zao za miaka mingi
 
Mwamposa watu waliaknyagana wakafaa ushawahi sikia kafanywa chochotee..! Wewe mtu akiambiwa chama kina mkutano chap tu muamalaa unadhani ataguswaa
 
Kwa nini serikali isifanye siku ya Ibada kuwa moja kwa wiki? By the way, kuna wengine kwenye kituo cha mbezi wanasumbua sana na mahubiri yao. Sidhani kama wengine wao wana work permit
 
Acha tu, ukiona jioni watu wanavyoteseka usafiri pale Kawe, utatamani huyo jamaa aondolewe mara moja. Watu hawaelewi, unavyoteseka, jua, mvua, na hata kujikwaa na kuanguka ni faida kwake katika ulimwengu wa roho. Kwa maneno mengine mnageuzwa "misukule ".
 
Haka kajamaa tangu kawe initiated na yule Uber angel kwenye huo ushetani wao hajawahi kuwa na akili nzuri tena.
Kajinga sana. Zamani wakati yupo Morogoro, alikuwa mhubiri kijana mzuri sana. Lakini kakaingiwa na tamaa kamekuwa kama kashetani kembamba kadogokadogo ambacho hakanenepi kamwe. Injili yake ni kumotivate watu na kujisifu tu
 
Back
Top Bottom