Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sasa kundi la marehemu linatokana na nini huku mwenyewe hayupo?Spika wa Bunge Job Ndugai amemuagiza Katibu wa wabunge wa CCM Jasson Rweikiza kuitisha kikao cha kamati ya wabunge wa CCM (party caucus) kwasababu ndio mahali wanaweza kudhibitiana..
Tatizo ni Mahera na ile tume! Saboofer ibaki hiyo, wademke weeee, mpaka wachoke! Mungu atawafanya kuwa mfano wote waliotenda dhuluma!Ndugai kuna kitu anakitengeneza yeye ndio tatizo halafu anataka apate point kwa kutatua tatizo, kama ccm wako makini wamwondoe mapema vinginevyo huko mbele atawaletea madhara makubwa
Sasa wanaitana caucus wapi na wapi wakati wenyewe humo humo ni caucus tupu mjengoniSpika wa Bunge Job Ndugai amemuagiza Katibu wa wabunge wa CCM Jasson Rweikiza kuitisha kikao cha kamati ya wabunge wa CCM (party caucus) kwasababu ndio mahali wanaweza kudhibitiana.
Ndugai ameyasema hayo leo Jumatatu baada ya Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Lucy Mayenga kudai kuwa kuna kundi la wabunge wa chama hicho ambalo linamsifia Rais Samia Suluhu Hassan kwa lengo la kudhoofisha alama zilizoachwa na Hayati Rais John Magufuli.
Hata Urais wa Magu ulikuwa hramuKila kilichokuja kiharamu kitaondoka.Ni suala la muda tu.Sioni mama akifika mbali na hili bunge la ajabu!Na linajimaliza lenyewe,na iwe hivyo haraka iwezekanavyo ili wasitucheleweshe kufanya reforms za msingi kwenye nchi yetu.Hatuna mda wa kukimbizana kidali po na watoto.Waende nje wakamalizie michezo yao kwanza.
Kwa Magufuli wala haziitajiki jitihada kumchafua.She is right, kuna jitihada kubwa sana zinaendelea za kumchafua Magufuli
Mbunge wa viti Maalum Lucy Mayenga amedai leo Bungeni kuwa kuna kundi la wabunge wengi ambao wanamepanga kuhujumu legacy ya Magufuli na kutaka kutenganisha Urais wa Samia na urais wa Magufuli
Amedai wabunge hao wanamsifia Samia Suluhu kwa lengo la kuonyesha kuwa Maguuli alikuwa akifanya vibaya na tangu awali wanafahamika kuwa walikuwa wakimpinga Magufuli.
Ameongezea watu hao kuwa wanamchonganisha Samia na watu wa Magufuli ambao alikuwa amewapanga na mikakati yao wanaijua
Zaidi unaweza kumsikiliza hapa
Wewe Kawe acha hizoUnaleta habari ya upotoshaji inakusaidia nini? Sawa kuna makundi haya wewe inakusaidia nini?
old skul huyo hao ndio wauza makalio maarufu huko bungeni , ndio kazi wanayojua hakuna kingine kuna wakati alikua na vyeo viwili ubunge na uDC sasa unajiuliza kwa kichwa kipi?Mbona huyu Mbunge anafanya upuuzi uliokatazwa na Mama Samia jana tu!
Tatizo hawana hoja Hawa mataga.Hoja zao ilikuwa kutukana wapinzani. Sasa hawapo waya yaparulaneWaache wamalizane wenyewe kenge hao si walitaka bunge la chama kimoja?? Waendelee na ushetani wao
Spika wa Bunge Job Ndugai amemuagiza Katibu wa wabunge wa CCM Jasson Rweikiza kuitisha kikao cha kamati ya wabunge wa CCM (party caucus) kwasababu ndio mahali wanaweza kudhibitiana.
Ndugai ameyasema hayo leo Jumatatu baada ya Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Lucy Mayenga kudai kuwa kuna kundi la wabunge wa chama hicho ambalo linamsifia Rais Samia Suluhu Hassan kwa lengo la kudhoofisha alama zilizoachwa na Hayati Rais John Magufuli.
Sasa kundi la marehemu linatokana na nini huku mwenyewe hayupo ?
Nina uhakika Ndugai yuko kundi hilo
Ushahidi huu hapa .
View attachment 1757007