Sasa ni dhahiri Bungeni kuna kundi la Rais Samia na kundi la Hayati Magufuli. Spika Ndugai awataka wabunge wa CCM kuitisha kikao cha usuluhishi

Wabunge wengi wamepewa ubunge na Hayati Magufuli bila yeye Leo wasingekuepo bungeni. 2025 watatamani sarakasi zitumike ili washinde ubunge wao
 
Magufuli ni nani asipingwe.

Watu wanampinga Mungu itakua magufuli.

Tatizo magufuli kawatenda wengi sana ndivyo sivyo ndo mana wengi wanampinga.
Waliaminishwa kuwa atatawala milele wakajaa ujinga wa milele.
 
AMEN
 
Hivi kwa nini mnataka system isiwe na umoja.This is an obvious devide and rule technique,ambayo ina nia ovu ya kudhoofisha performance ya Rais aliyeko madarakani.Hata lini mtaendeleza uovu wenu wa kutoitakia nchi yenu mema? Acheni uovu wenu,mwacheni Mama wa watu afanye kazi.Choko choko tuuuu.....!Inakera sana.This is demonic and evil at it's best.
 
Vip mkuu nasikia wanasema JPM ameuawa, vipi kuna ukweli wowote kuhusu hili?
 
Vip mkuu nasikia wanasema JPM ameuawa, vipi kuna ukweli wowote kuhusu hili?
Hata mimi nasikia,ila kwa kuwa sijaona akiuwawa,siwezi kuthibitisha.Ila inawezekana kauliwa,kwa kuwa alikuwa na maadui wengi sana,wa ndani na nje.
 
Hata mimi nasikia,ila kwa kuwa sijaona akiuwawa,siwezi kuthibitisha.Ila inawezekana kauliwa,kwa kuwa alikuwa na maadui wengi sana,wa ndani na nje.
uwezekano wa kuuawa unaupa asilimia ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…