Sasa ni dhahiri, CCM wanapumulia mashine

Hakijatokea chama cha kuishinda Ccm kwa miaka miamoja ijayo

Tena huyu lissu aliyetumwa na Mabeberu mtaambulia mabua

Tanzania hatutaki ushoga,
Nakushauri tena, kama kuna posho hujalipwa hapo lumumba nenda kazidai kabisa maana baada ya kichapo atakachowapa Lissu iyo jumatano lazima mgawane mbao hapo Lumumba
 
Kama kuna Mwaka ambao CCM yangu GENTAMYCINE 'itashinda' kwa 'Kishindo' kabisa basi ni Uchaguzi Mkuu huu ujao wa Wiki ijayo tu. Mtakoma!
Thubutuuu yenu!!! Hakuna rangi Ccm mtaacha ona iyo wiki ijayo
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Hakuna mwaka ambao upinzani ni imara kama mwaka huu ndo mana Ccm na NEC wamefanya figisu kupindukia
 
Fichua mbinu zozote za wizi wa kura

Fichua vituo hewa

Fichua wapigakura hewa

Fichua njia za kuingiza kura haramu kituoni

Nguvu ya Umma lindeni mawakala wakiwa nyumbani kwa hizi siku nne zilizobaki
Wasije wakarubuniwa kwa hongo,au kutekwa na

Nguvu ya Umma sindikiza mawakala Hadi kituoni

Nguvu ya Umma hakikisha mawakala hawali chochote wakipewa na Mtu asieaminika wakiwa vituoni,maana hupewa chakula chenye dawa za usingizi.

Chunguza watu wote kwenye foleni wengine huingia na mashati marefu au makubwa yenye kura tayri zilizokwisha pigwa.

Nguvu ya Umma jiridhishe kabla ya kuanza kupiga kura ndani ya chumba Cha kupiga kura Hakuna kura zilizopigwa tayari.tambua idadi ya nyumba katika kituo hicho na idaidi ya milango ya kutokea sehemu za nyuma.

Nguvu ya uma hakikisha majina yaliyopo kwenye karatasi ukutani Ni sahihi na Hakuna mtu chni ya miaka 18 anakwenda ndani ya kituo.

Hamasisha wazazi kutokubali watoto wadogo hasa wanafunzi wa Shule ya msingi kutumika kwa vitendo hivi hatari kwa usalama wa watoto wadogo

Fichua mbinu zote na tangazia dunia
Timia simu yako Kama silaha ya ushindi na kumbukumbu za baadae na kupeleka habari za Uchaguzi duniani kote.

Sambaza ujumbe huu nchi nzima
Kamera ya simu yako ndio silaha yako.
 
Wamepoteana ccm ,polisi,DPP,TISS,Mkurugenzi wa uchaguzi,mwenyekiti wa tume, mwanasheria wa tume,IGP,wasimamizi wa uchaguzi ngazi zote,wakuu wa wilaya,mkoa,wakuu wa idara mbalimbali za umma,wanasiasa uchwara,wanafunzi,vitambulisho vya Taifa,lesseni,pasipoti kwa wale waliopoteza,kupiga Mara mbili kama umekosea,tarehe za uchaguzi kuwa mbili 27 na 28 kwa Zanzibar,wakurugenzi,magazeti,TV,Globowatendaji wa kata,baadhi ya vyama vya upinzani uchwara,baadhi ya wanajeshi,wasiojulikana,vituo hewa,wapiga kura hewa,mabenki,mitandao ya simu,TCRA.wasanii wa mziki mbaya zaidi kila mbinu yao ovu yavuja kabla ya siku ya uchaguzi na mataifa ya nje ikiwachora kupitia kwa mwanasheria wa lissu anavyowalima barua kila tukio ovu wanalotaka kufanya gizani na kikinuka wajiandae wote waliandikiwa barua na wanawatuma
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema
Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Nakushauri tena, kama kuna posho hujalipwa hapo lumumba nenda kazidai kabisa maana baada ya kichapo atakachowapa Lissu iyo jumatano lazima mgawane mbao hapo Lumumba
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema
Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Hahahahaha!! Kwa taarifa yako Chadema inaenda kubeba majimbo zaidi ya 100 uchaguzi huu
 
Wamepoteana ccm ,polisi,DPP,TISS,Mkurugenzi wa uchaguzi,mwenyekiti wa tume, mwanasheria wa tume,IGP,wasimamizi wa uchaguzi ngazi zote,wakuu wa wilaya,mkoa,wakuu wa idara mbalimbali za umma,wanasiasa uchwara,wanafunzi,vitambulisho vya Taifa,lesseni,pasipoti kwa wale waliopoteza,kupiga Mara mbili kama umekosea,tarehe za uchaguzi kuwa mbili 27 na 28 kwa Zanzibar,wakurugenzi,magazeti,TV,Globowatendaji wa kata,baadhi ya vyama vya upinzani uchwara,baadhi ya wanajeshi,wasiojulikana,vituo hewa,wapiga kura hewa,mabenki,mitandao ya simu,TCRA.wasanii wa mziki mbaya zaidi kila mbinu yao ovu yavuja kabla ya siku ya uchaguzi na mataifa ya nje ikiwachora kupitia kwa mwanasheria wa lissu anavyowalima barua kila tukio ovu wanalotaka kufanya gizani na kikinuka wajiandae wote waliandikiwa barua na wanawatuma
Hahaha Delete CCM oct.28,Yaani Mungu anawaaibisha na wizi wao wapuuz hawa
 
1603483776868.png

Tulahidiwa uchaguzi huru na wa haki. Fatuma mmemuona?
 
CCM ulimi nje push kidogo tu ya siku mbili hizi kitu kinaenda Chini

Ningependa Ngoma ielekezwe Darsalama tukafunge kazi wakati huo huo tuendelee kuvivumbua Vituo hewa na na Wapigakura hewa kwenye daftari na Mabango
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema
Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Hahahahaha!! Kwa taarifa yako Chadema inaenda kubeba majimbo zaidi ya 100 uchaguzi huu
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema
Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Endelea kurudia tu. Ila kadai tu upewe fedha zako unazodai Lumumba. Chadema ndo Chama tawala Tanzania 2020-2025. Utake usitake
 
CCM ulimi nje push kidogo tu ya siku mbili hizi kitu kinaenda Chini

Ningependa Ngoma ielekezwe Darsalama tukafunge kazi wakati huo huo tuendelee kuvivumbua Vituo hewa na na Wapigakura hewa kwenye daftari na Mabango
Hv Dar Lini nasuburi kwa hamu mkutano wa Tundu lisu
 
Hivi ninavyoandika tu hii 'post' Kukujibu 'Pimbi' Wewe tayari Rais ajaye Dk. Magufuli ameshamaliza Kuunda 'Cabinet' yake mpya ya 2020-2025. Pole!
Labda cabinet ya hotel yake ya Chato pale!! Magufuli ni Raisi Mstaafu kuanzia late October 2020. Wiki ijayo ijumaa tu anaanza kuona wapiganaji wakimkana live
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike

Back
Top Bottom