Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #21
Nakushauri tena, kama kuna posho hujalipwa hapo lumumba nenda kazidai kabisa maana baada ya kichapo atakachowapa Lissu iyo jumatano lazima mgawane mbao hapo LumumbaHakijatokea chama cha kuishinda Ccm kwa miaka miamoja ijayo
Tena huyu lissu aliyetumwa na Mabeberu mtaambulia mabua
Tanzania hatutaki ushoga,
Thubutuuu yenu!!! Hakuna rangi Ccm mtaacha ona iyo wiki ijayoKama kuna Mwaka ambao CCM yangu GENTAMYCINE 'itashinda' kwa 'Kishindo' kabisa basi ni Uchaguzi Mkuu huu ujao wa Wiki ijayo tu. Mtakoma!
Hakuna mwaka ambao upinzani ni imara kama mwaka huu ndo mana Ccm na NEC wamefanya figisu kupindukiaUchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Nakushauri tena, kama kuna posho hujalipwa hapo lumumba nenda kazidai kabisa maana baada ya kichapo atakachowapa Lissu iyo jumatano lazima mgawane mbao hapo Lumumba
Hahahahaha!! Kwa taarifa yako Chadema inaenda kubeba majimbo zaidi ya 100 uchaguzi huuChadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema
Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Hahaha Delete CCM oct.28,Yaani Mungu anawaaibisha na wizi wao wapuuz hawaWamepoteana ccm ,polisi,DPP,TISS,Mkurugenzi wa uchaguzi,mwenyekiti wa tume, mwanasheria wa tume,IGP,wasimamizi wa uchaguzi ngazi zote,wakuu wa wilaya,mkoa,wakuu wa idara mbalimbali za umma,wanasiasa uchwara,wanafunzi,vitambulisho vya Taifa,lesseni,pasipoti kwa wale waliopoteza,kupiga Mara mbili kama umekosea,tarehe za uchaguzi kuwa mbili 27 na 28 kwa Zanzibar,wakurugenzi,magazeti,TV,Globowatendaji wa kata,baadhi ya vyama vya upinzani uchwara,baadhi ya wanajeshi,wasiojulikana,vituo hewa,wapiga kura hewa,mabenki,mitandao ya simu,TCRA.wasanii wa mziki mbaya zaidi kila mbinu yao ovu yavuja kabla ya siku ya uchaguzi na mataifa ya nje ikiwachora kupitia kwa mwanasheria wa lissu anavyowalima barua kila tukio ovu wanalotaka kufanya gizani na kikinuka wajiandae wote waliandikiwa barua na wanawatuma
Hahahahaha!! Kwa taarifa yako Chadema inaenda kubeba majimbo zaidi ya 100 uchaguzi huu
Hivi ninavyoandika tu hii 'post' Kukujibu 'Pimbi' Wewe tayari 'Rais' ajaye John P Magufuli ameshamaliza Kuunda 'Cabinet' yake mpya ya 2020-2025.'Thubutuuu yenu!!! Hakuna rangi Ccm mtaacha ona iyo wiki ijayo
Endelea kurudia tu. Ila kadai tu upewe fedha zako unazodai Lumumba. Chadema ndo Chama tawala Tanzania 2020-2025. Utake usitakeChadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema
Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Hv Dar Lini nasuburi kwa hamu mkutano wa Tundu lisuCCM ulimi nje push kidogo tu ya siku mbili hizi kitu kinaenda Chini
Ningependa Ngoma ielekezwe Darsalama tukafunge kazi wakati huo huo tuendelee kuvivumbua Vituo hewa na na Wapigakura hewa kwenye daftari na Mabango
Labda cabinet ya hotel yake ya Chato pale!! Magufuli ni Raisi Mstaafu kuanzia late October 2020. Wiki ijayo ijumaa tu anaanza kuona wapiganaji wakimkana liveHivi ninavyoandika tu hii 'post' Kukujibu 'Pimbi' Wewe tayari Rais ajaye Dk. Magufuli ameshamaliza Kuunda 'Cabinet' yake mpya ya 2020-2025. Pole!
Endelea kurudia tu. Ila kadai tu upewe fedha zako unazodai Lumumba. Chadema ndo Chama tawala Tanzania 2020-2025. Utake usitake
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Yule ndie raisi wako ajae na ujifunze kumuekea heshima.Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Yule mropokaji na msaliti wa Nchi atapigiwa kura na robert tu