Sasa ni dhahiri, CCM wanapumulia mashine

Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike

Tuliwaonya hamkusikia

Usaliti wake upo wazi, na ni bahati nzuri ilishaamuliwa hawezi kuwa hata diwani wa hii Nchi
Ni vizuri ukatoa majibu ya ulichoulizwa kuliko kupiga tantalila
 
Mtasubiri miaka miamoja ijayo kushinda Uchaguzi

Kama wagombea wenyewe ndio hawa wanaotumika na Mabeberu !
Jiandae kumsindikiza mtukufu Mkoloni kaburu mweusi kurejea kijijini chato kusubiria kushinda mahakamani kama Jacob Zuma
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike

Tuliwaonya hamkusikia

Usaliti wake upo wazi, na ni bahati nzuri ilishaamuliwa hawezi kuwa hata diwani wa hii Nchi
Kasaliti nini? Kuna usaliti kama kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? Kuna usaliti kama Ndungai kupiga bilion 12 peke yake akiwa India? Kuna usaliti kama kupiga trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara
 
Usaliti wake kwa Nchi upo wazi! Kumbuka usaliti kwa Nchi ni laana

Mwangalieni vizuri mtu wenu km yupo sawa
Mbona hujibu swali??? Kumbe hata wewe umekariri tu usaliti na hujui ni usaliti gani???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tanzania haiwezi kuongozwa na msaliti wa Nchi Lissu, haitatokea hata mbingu zigeuke

Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Mbona hujibu swali??? Kumbe hata wewe umekariri tu usaliti na hujui ni usaliti gani???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu kwa hali ilivyokuwa miaka mitano tuliyoimaliza usitegemee kuna mtu mwenye akili timamu anashabikia ccm tena.!
Japo wengi hawataki kujiweka wazi kwa kuhofia kupoteza ajira zao ila nina jamaa flani nawafahamu ni maaskari kabisa ila ni Chadema dam dam
 
Mimi Siwezi kuwa kilaza Kwasababu sijaisaliti Nchi yangu kama yule bwana kutoka ubeligiji
Wewe ni certified kilaza. Naona umemzidi hadi Yehodaya.
Kama umeshindwa hadi kutoa ushahidi wa huo usaliti basi nitakuita rasmi certified kilaza kuanzia leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…