Sasa ni dhahiri, CCM wanapumulia mashine

Sasa ni dhahiri, CCM wanapumulia mashine

Mbinu zao zote zinagonga ukuta mwaka huu
Kifo cha nyani miti yote huteleza na mwisho wa ubaya ni Aibu walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha mabutu Gadafi Sadam Hussein Elbashiri Iddy Amin dada wapo wapi leo
 
Kifo cha nyani miti yote huteleza na mwisho wa ubaya ni Aibu walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha mabutu Gadafi Sadam Hussein Elbashiri Iddy Amin dada wapo wapi leo
Kweli kabisa!!! Nikiangalia ile clip ya zungu akiwaonesha watoto wadogo jinsi ya kupiga kura hadi nacheka kwa kweli😂😂😂
 
Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania Yule mropokaji na msaliti wa Nchi atapigiwa kura na robert tu
Hv unajua tangu umeanza andika message zote hakuna hata moja inayoeleza kwa nn unamchagua meko zaid ya blahblah?
 
Membe anasomewa Albadiri kubwa na watanzania wapenda HAKI mda si mrefu anaenda kuokota makopo
Hata asipoombewa watu walishamwoma hazimtoshi ,ndo maana kwenye kampeni zake alikuwa hafikishi watu 15 ,chadema ni akili kubwa sana walimkataa hatua za awali
 
Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania Yule mropokaji na msaliti wa Nchi atapigiwa kura na robert tu
Watanzania wa wapi unawasemea? Maana watanzania wenye Akili timamu hawawezi kuichagua CCM
 
Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania Yule mropokaji na msaliti wa Nchi atapigiwa kura na robert tu
Kipenzi gani wa watanzania anayesema hatopeleka miradi ya Maendeleo kwa wapinzani huku akisema atamgawa mama yake kwa mwanaume baada ya kupewa jogoo???

Tundu Lissu atapigiwa kura na mamilioni ya watanzania ikiwemo wana Ccm waliochoka uuaji, utekaji na ubambikaji kesi.
 
Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi atapigiwa kura na robert tu
Ndo point yako inayokupeleka kuunga mstari asubuhi adi jion kupiga kura na Kuacha mambo yako mengine ya msingi yamesimama? Kweli wapiga kura wa Tanzania ni rubbish
 
Watanzania tunajivunia kumpata kiongozi bora Magufuli
Rais Magufuli ni mbeba maono ya Watanzania
Ndo point yako inayokupeleka kuunga mstari asubuhi adi jion kupiga kura na Kuacha mambo yako mengine ya msingi yamesimama? Kweli wapiga kura wa Tanzania ni rubbish
 
Back
Top Bottom