Sasa ni dhahiri, CCM wanapumulia mashine

Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi atapigiwa kura na robert tu
Kipenzi gani wa watanzania anayesema hatopeleka miradi ya Maendeleo kwa wapinzani huku akisema atamgawa mama yake kwa mwanaume baada ya kupewa jogoo???

Tundu Lissu atapigiwa kura na mamilioni ya watanzania ikiwemo wana Ccm waliochoka uuaji, utekaji na ubambikaji kesi.
 
Watanzania wa wapi unawasemea? au watanzania unaovuta nao Bangi hapo gheto kwa cyprian Musiba?
 
Pia pongezi nyingi ziwaendee umma wa Watanzania kwa ujumla wao kwa mwamko mkubwa walionao wa kutaka kujikomboa
Mkoloni mweusi kaburu tokea chato ana hali ngumu sasa anamtumia membe kudhoofisha kuihujumu ACT
 
All in All;Bia yetu ana exercise free of speech and we have to respect that🤣🤣🤣,Ina chama ulichojiandikishia ndo shiida 🤣🤣🤣🤣
 
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
 
Nimeshangaa sana Membe ,goli la dk ya 89 ndo kuandika barua feki kuangua Zitto na maalim seif ACT ?kama kweli hii ndo goli la dk 89 nadiriki kusema huyo mzee Membe akili zimemruka
Membe anasomewa Albadiri kubwa na watanzania wapenda HAKI mda si mrefu anaenda kuokota makopo
 
Yaaani naskia wameandaa watoto wa sekondari walio chini ya miaka 18 ndo wakapige kura. Kweli mwaka huu ndo msemo wa kifo cha nyani miti yote utekeleza unaenda kutimia
Mbaya zaidi clip za wakiwapa maelekezo hao watoto zinavuja na watanzania wanaoneshwa ushahidi wote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli Ccm fungasheni virago tu. Watanzania wanewakataa hakika
Clip zipo YouTube ni kweli
 
Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi atapigiwa kura na robert tu
Kipenzi gani wa watanzania anayesema hatopeleka miradi ya Maendeleo kwa wapinzani huku akisema atamgawa mama yake kwa mwanaume baada ya kupewa jogoo???

Tundu Lissu atapigiwa kura na mamilioni ya watanzania ikiwemo wana Ccm waliochoka uuaji, utekaji na ubambikaji kesi.
 
Leo nimecheka mkutano wa Arusha mjini..mitambo yao imechoka wanasingizia kuna mtu kapigisha shoti na bisibisi na wamemkamata..Polepole mnakwama wapi..
 
Shekhe Ponda amesema Ukafiri ni Vitendo kwa hiyo CCM ni Chama cha Makafiri.

"Ewe Muumini kaa nacho mbali"..alisisitiza
 
Membe anaweza kushika nafasi ya pili baada ya Rais Magufuli

Yule msaliti wa Nchi hakuna wa kumpigia kura
Membe anasomewa Albadiri kubwa na watanzania wapenda HAKI mda si mrefu anaenda kuokota makopo
 
Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania Yule mropokaji na msaliti wa Nchi atapigiwa kura na robert tu

Back
Top Bottom