Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #161
Sawasawa certified kilazaMimi Siwezi kuwa kilaza Kwasababu sijaisaliti Nchi yangu kama yule bwana kutoka ubeligiji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawasawa certified kilazaMimi Siwezi kuwa kilaza Kwasababu sijaisaliti Nchi yangu kama yule bwana kutoka ubeligiji
Binadamu aliyepewa uwezo wa kutafakari na kutambua lililojema katika maisha hawezi kutishika na maneno haya yaliyokosa weledi ndani yake!Yaaani kweli Mungu mkubwa. Hakuna aliyedhani vya this time Ccm watakuwa na hali mbaya kiasi hiki 😂😂😂
Sawasawa certified kilaza
Kwa iyo kumbe mliandaa figisu mkitegemea Chadema tutajitoa mwaka huu??? Imekula kwenu mazima sasa!!😂😂😂Binadamu aliyepewa uwezo wa kutafakari na kutambua lililojema katika maisha hawezi kutishika na maneno haya yaliyokosa weledi ndani yake!
Tume ya Uchaguzi ni organ inayosimamia Uchaguzi, Kama huna imanani nayo ulikubalije kugombea?
Hekaya za kuunga unga hazitakufanya kufanikiwa dhidi ya ukweli!
Hakuna Rais aliye mzalendo zaidi ya Magufuli ukimwacha Mwalimu Nyerere! Siasa za kijinga Acha!
Mbowe alikosea sana kurudi kwenye uenyekiti.Amani iwe nanyi wadau!!
Kabla ya kwenda kwenye mada napenda kuwapongeza sana Jamii Forums. Pamoja na vikwazo na changamoto zote napenda kusema ni chombo pekee Tanzania ambacho kwenye uchaguzi huu kimejaribu kweli kusimama kwenye Haki na Kweli. Mijadala yote ya Ccm na Chadema inajadiliwa kwa kiwango kizuri ingawa Kuna changamoto ndogo za hapa na pale.
Baada ya kusema haya napenda nirudi kwenye mada.
Zikiwa zimebaki siku kama 4 tu watanzania kufanya maamuzi kuna mambo matatu nimeyaona, napenda kusema ni kielelezo tosha kuwa Ccm iko na hali mbaya sana mwaka huu. Mambo hayo ni
1. CCM kutumia silaha yake ya kujaribu kuleta mgogoro ACT Wazalendo katika hatua ya lala salama bila mafanikio.
Kwa wajuzi wa siasa za Tanzania suala la CCM Kuanza kuwaonesha mamluki wake wote waliopo ACT kabla hata kura hazijapingwa ni kielelezo tosha kuwa CCM wamebanwa sana mwaka huu na wameona ni bora watoe tu silaha zake zote. Alianza Membe na wamejitokeza wengine. Hii imewaonesha Watanzania kuwa kweli Ccm kwenye uchaguzi huu hawakujiandaa kihoja. Suala la Maalim na Zitto kumuunga mkono Lissu limewashtua sana CCM na imefika sasa hawana namna yeyote zaidi ya kujaribu kete ya mwisho ya kuharibu ACT. Hali ya Zanzibar na Bara kwa CCM ni mbaya sana na hawajui wafanyaje kupata ushindi.
2. Vyombo vya Habari nguli vya Tanzania kutorusha Habari za Tundu Antiphas Lissu kwa muda wa siku mbili mfululizo.
Hili jambo ni kielelezo kingine kuwa sasa hali ya Ccm na serikali yake sio Nzuri. Baada ya kampeni za Tundu Lissu za lala salama kuwa na mwitikio mkubwa wa wananchi na huku zikiungwa mkono na Sheikh Ponda, kiongozi wa dini anayeaminika zaidi na kukubalika zaidi na waislamu wa Tanzania imeonekana kuwa Ccm wameona tu watumie mbinu kufanya vyombo vya Habari vya Tanzania vikongwe visitangaze tu kampeni za lala salama za Tundu Lissu.
Was icho jua CCM ni kuwa hili limezidi kuwapa hasira zaidi watanzania na wengi wao wameoneka leo walivyokisema chombo kimoja cha Habari baada ya kutoonesha mikutano ya Tundu Lissu kwenye taarifa yake ya Habari ya sa mbili usiku.
3. NEC kutoka hadharani na kuanza kuomba Poo!
Baada ya mbinu chafu zote za wizi wa kura ikiwemo kuongeza vituo hewa na wapiga kura hewa kubumbuliwa mwaka huu huku NEC ikiwa imewaonea sana wapinzani kwa kuwaengua kwenye majimbo mbalimbali na kukataa kuwaapisha wasimamizi wa uchaguzi ikiwemo kuwasimamisha kufanya kampeni wagombea wao, Leo mkurugenzi wa Tume ya uchaguzi ameona tu aanze kutengeneza mazingira kutengeneza huruma kama NEC wanasingiziwa. Kwa mbinu hizi zote inaonekana dhahiri Ccm wameshazidiwa sana mwaka huu na hali si hali huko kwao.
Niliwai sema mwanzoni mwaka huu kuwa hakuna uchaguzi mgumu kwa Ccm Kama wa mwaka huu na mwaka huu inyeshe mvua liwake jua, Ccm hawawezi shinda uchaguzi wa mwaka huu, sasa baada ya haya yote nimeamini kuwa mwaka huu CCM inaenda kuanguka rasmi kuwa Chama tawala Tanzania.
Hongereni wapinzani kwa kujiandaa vyema mwaka huu, hongera sana Tundu Antiphas Lissu.
Mungu awasimamie kweli
Sawasawa certified kilazaMatusi hayatasaidia kitu, hatuna huruma na msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji
Sawasawa certified kilaza
Mbowe kakufanya nini wewe mtu???😂😂😂Mbowe alikosea sana kurudi kwenye uenyekiti.
Mbowe hafai kuwa mwenyekiti wa Chama Tawala.
Na Mbaya zaidi Lisu amesema Mbowe atakua Waziri Mkuu .
Hiyo imenifanya nibaki mdomo wazi.
Mbowe kabisa awe waziri mkuu wa nchi.
Ni ajabu kabisa.
Waziri Mkuu ni Rais wa Tanganyika.
Wapinzani hasa Chadema ilikosea sana kumpa Mbowe uenyekiti kuelekea uchaguzi huu. Mbowe alifanya siasa za kitoto Ndani na nje ya Bunge kwa miaka Mitano.
Siasa ni Sayansi.
Mbowe alihamasisiha watu wasijiandikishe ili ionekane kuwa watu hawatashiriki uchaguzi. Serikali na Chama cha mapinduzi wakahamasisha sana watu kujiandikisha.
Matokeo yake watu wengi wanaohudhuria mikutano ya Chadema hawajajiandikisha. Mbowe ni Mamluki wa CCM na amefilisi Chama chake na kama sio Lisu Mwaka huu kwa siasa za kinyonge za Mbowe Chadema ingekufilia Mbali.
Lisu ni Jemadari wa siasa barani Afrika na Dunia nzima.
Lisu anafaa kuwa Katibu Mkuu wa UN.
Lisu ni International Figure.
Lakini Pia Mbowe alitumia vibaya Ruzuku za Chama na kukifanya Chama kuwa na ukata mkubwa wa pesa.
Mbowe ameshindwa kabisa kukijenga Chama Kanda ya Kaskazini tangu alipofariki ghafla Ndesamburo(RIP) . Kanda ya Kaskazini hasa Kilimanjaro Chadema itapoteza majimbo karibu yote isipokuwa la Moshi mjini kutokana na ukaribu wa mgombea na wananchi.
Watanzania wengi bado wamelala siasa za Mbowe kwa miaka Mitano hazikua na tija kwa jamii.
Mbowe kuwa Waziri Mkuu ni Bora Chadema iangushwe na CCM.
Atakua ni waziri Mkuu wa hovyo kuliko wote Duniani.
Achaneni na mambo ya kuahidiana vyeo mana mtaboa watu.
Sawasawa certified kilazaMatusi hayatasaidia kitu, hatuna huruma na msaliti wa Nchi
Lazima tukamfundishe adabu
Sawasawa certified kilaza
Certified kilaza sio tusi ni jinsi ulivyo. Jipe hongera 😂Matusi hayatasaidia kitu, hatuna huruma na msaliti wa Nchi lazima tumfundishe adabu
Hakuna usaliti kama kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bungeMatusi hayatasaidia kitu, hatuna huruma na msaliti wa Nchi lazima tumfundishe adabu
Certified kilaza sio tusi ni jinsi ulivyo. Jipe hongera [emoji23]
Ccm imebaki NEC tu.Amani iwe nanyi wadau!
Kabla ya kwenda kwenye mada napenda kuwapongeza sana Jamii Forums. Pamoja na vikwazo na changamoto zote napenda kusema ni chombo pekee Tanzania ambacho kwenye uchaguzi huu kimejaribu kweli kusimama kwenye Haki na Kweli. Mijadala yote ya Ccm na Chadema inajadiliwa kwa kiwango kizuri ingawa Kuna changamoto ndogo za hapa na pale.
Baada ya kusema haya napenda nirudi kwenye mada.
Zikiwa zimebaki siku kama 4 tu watanzania kufanya maamuzi kuna mambo matatu nimeyaona, napenda kusema ni kielelezo tosha kuwa Ccm iko na hali mbaya sana mwaka huu. Mambo hayo ni
1. CCM kutumia silaha yake ya kujaribu kuleta mgogoro ACT Wazalendo katika hatua ya lala salama bila mafanikio.
Kwa wajuzi wa siasa za Tanzania suala la CCM Kuanza kuwaonesha mamluki wake wote waliopo ACT kabla hata kura hazijapingwa ni kielelezo tosha kuwa CCM wamebanwa sana mwaka huu na wameona ni bora watoe tu silaha zake zote. Alianza Membe na wamejitokeza wengine. Hii imewaonesha Watanzania kuwa kweli Ccm kwenye uchaguzi huu hawakujiandaa kihoja. Suala la Maalim na Zitto kumuunga mkono Lissu limewashtua sana CCM na imefika sasa hawana namna yeyote zaidi ya kujaribu kete ya mwisho ya kuharibu ACT. Hali ya Zanzibar na Bara kwa CCM ni mbaya sana na hawajui wafanyaje kupata ushindi.
2. Vyombo vya Habari nguli vya Tanzania kutorusha Habari za Tundu Antiphas Lissu kwa muda wa siku mbili mfululizo.
Hili jambo ni kielelezo kingine kuwa sasa hali ya CCM na serikali yake sio Nzuri. Baada ya kampeni za Tundu Lissu za lala salama kuwa na mwitikio mkubwa wa wananchi na huku zikiungwa mkono na Sheikh Ponda, kiongozi wa dini anayeaminika zaidi na kukubalika zaidi na waislamu wa Tanzania imeonekana kuwa Ccm wameona tu watumie mbinu kufanya vyombo vya Habari vya Tanzania vikongwe visitangaze tu kampeni za lala salama za Tundu Lissu.
Was icho jua CCM ni kuwa hili limezidi kuwapa hasira zaidi watanzania na wengi wao wameoneka leo walivyokisema chombo kimoja cha Habari baada ya kutoonesha mikutano ya Tundu Lissu kwenye taarifa yake ya Habari ya sa mbili usiku.
3. NEC kutoka hadharani na kuanza kuomba Poo!
Baada ya mbinu chafu zote za wizi wa kura ikiwemo kuongeza vituo hewa na wapiga kura hewa kubumbuliwa mwaka huu huku NEC ikiwa imewaonea sana wapinzani kwa kuwaengua kwenye majimbo mbalimbali na kukataa kuwaapisha wasimamizi wa uchaguzi ikiwemo kuwasimamisha kufanya kampeni wagombea wao, Leo mkurugenzi wa Tume ya uchaguzi ameona tu aanze kutengeneza mazingira kutengeneza huruma kama NEC wanasingiziwa. Kwa mbinu hizi zote inaonekana dhahiri CCM wameshazidiwa sana mwaka huu na hali si hali huko kwao.
Niliwai sema mwanzoni mwaka huu kuwa hakuna uchaguzi mgumu kwa CCM Kama wa mwaka huu na mwaka huu inyeshe mvua liwake jua, CCM hawawezi shinda uchaguzi wa mwaka huu, sasa baada ya haya yote nimeamini kuwa mwaka huu CCM inaenda kuanguka rasmi kuwa Chama tawala Tanzania.
Hongereni wapinzani kwa kujiandaa vyema mwaka huu, hongera sana Tundu Antiphas Lissu.
Mungu awasimamie kweli
Polisiccm pia hata Msajiliccm yupoCcm imebaki NEC tu.
Amani iwe nanyi wadau!

Nimekumbuka kuwa kwa muda mrefu sijampiga za uso.Mbowe kakufanya nini wewe mtu???[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani ripori ya CAG ilisemaje juu ya hesabu za Chadema??? Alafu mbona umeleta hoja op kabisaa??? Umetumwa kuja kumsaidia Yehodaya kuhamisha mjadala nini???.[emoji23][emoji23][emoji23]