Sasa Ni Dhahiri Kocha wa Simba hampendi Kagere!

Huyu kocha inawezekana anafanya kazi kwa maelekezo ya senzo sio Kagere hata Kahata hampendi Nyoni alikuja kumuumbua alipocheza dhidi Tunisia.
Kwa uwezo wake tukipita na platinum tushukuru pale hamna kocha ni wachezaji wanambeba .
Hivi Dilunga na Mzamiru wana nini cha ziada.
Inabidi siku washabiki tuamue uongozi wa Simba utambue thamani yetu.
 
Kiungo gani pale simba anamzidi mzamiru upande wa kuzuia mashambulizi.
 
Mfumo wa kocha haumuhitaji kagere..mbumbumbu hamjui mpira..hata kwa kitu cha wazi kabisa.
Nyinyi manyani ndio hamjui kitu Simba sio tu tunataka matokeo pia tunataka burudani kama matokeo ni mazuri au sio mazuri lazima tujadili viwango vya wachezaji wetu nyio mmezoea ushindi wa kqgoli kamoja bila kujali performance ya timu yenu
 
Wenzako wako airport wanawasindikiza plateau
Mkuu tuheshimiane please.

Mkuu nimekutukana..? tuheshimiane sana. kama ulikua hutaki kunijibu unge kaa kimya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…