Sasa Ni Dhahiri Kocha wa Simba hampendi Kagere!

Sasa Ni Dhahiri Kocha wa Simba hampendi Kagere!

Kwa hiyo ndio sub iwe dakika ya 90 kwa huyo striker eee?

Well hoja ni kushangaa Meddy anachomeshwa Sana ubao...mbona hakuna rotation bora kwa huo mfumo wa striker mmoja?!!
Mbona hawashangai morrison kuanza benchi mbele ya dilunga
mkude kushuka kiwango lakini lawama zote kwa mzamiru mtu mpambanaji timu ikiwa haina mpira..
 
Kwa hiyo ndio sub iwe dakika ya 90 kwa huyo striker eee?

Well hoja ni kushangaa Meddy anachomeshwa Sana ubao...mbona hakuna rotation bora kwa huo mfumo wa striker mmoja?!!
We hujui mpira? Mbona kuelewa rahisi sana
 
Nimeshangaa sana jana kwanini Mzamiru (mmakonde ambae jina lake lilipaswa kua Muzamir) katoboa dakika zote 90 wakati anacheza utumbo....!
 
Wanaoshabikia Boko acheze ndio haohao wanaomlaumu Boko akiwa taifa stars ila Kagere akiamua kutoongeza mkataba Simba sitamlaumu ila nitalaumu uongozi kwa kuleta kocha asiyekuwa na viwango .
Hivi Kahata kwanini anakaa benchi anaua viwango vya wachezaji makusudi.
 
Attachments

  • IMG_20201205_225155.jpg
    IMG_20201205_225155.jpg
    92.4 KB · Views: 1
Muacheni KOCHA afanye kazi yake.
Hatupangi kikosi kwa mapenzi.
 
Inawezekana boko kamroga kocha labda kaona kagere harogeki ...sababu utanipa sababu ipi nyingine ambayo inamfanya asimuingize kagere na unaona wazi boko anacheza maboko tu uwanjani hamna kitu
Alimpiga bench Kagere tukapiga kelele akamuingiza. Likapiga kazi likachumpa mpaka goli 4. Baada ya hapo akampiga tena, Rwanda wakamuita akapiga kazi mechi zote. Hivyo hivyo na kwa Nyoni, kocha wa stars akamuamini ,akapiga kazi nzuri na jana kila mtu kaona.Huyu kocha ndio mchawi wetu
 
Huyu kocha atakuwa anatumiwa na senzo kosa walilofanya simba ni kuacha kirusi chake wote tuliokuwa uwanjani tulikuwa tunapiga kelele amuingize Kagere badala yake akamwamsha Amne hivi goli moja unawezaje kulinda uongozi usipolifanyia kazi hata ubingwa tutausikia au washabiki tufanye maamuzi magumu tususie mechi uongozi washituke, mbinu hii iliwahi kutumiwa na mashabiki wa ac milan kipindi cha Beruscon na ikafanya kazi
 
Kwa ule uso wa Mo jama baada ya mechi.....!! Jamaa aanze kufanya booking
 
Back
Top Bottom