Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Mimi si shabiki wa Simba lakini mpenzi wa AFYA ya mpira wetu....
Hivi inawezekanaje kwa mfungaji bora mara mbili mfululizo anawekwa UBAO namna hii ?!!!
Yaani kuwe na Sintofahamu kati ya mchezaji mzuri na kocha wake bila ya kufikia SULUHISHO?!!
Kama Meddy yu mgonjwa,mbona hatujasikia?!!
Hivi Meddy angekuwa ana miaka 25...Simba wangemfanyia hayo anayokumbana nayo?!!!
Sitaki kuamini Sven amekuwa na "tabia" za Pep Guardiola......