Sasa Ni Dhahiri Kocha wa Simba hampendi Kagere!

Sasa Ni Dhahiri Kocha wa Simba hampendi Kagere!

Katika mechi ya Leo na matokeo yanayotafutwa ,aina maechi ,ubora wa Kagere na Boko ! ....nimeanza kuamini kuwa huyu kocha ana timanyongo na Meddie Kagere!
Povu ruksa!

Hapana, mechi ya Plateau ilikuwa ni tactical match. Trust me, mechi inayokuja MK 14 atajaa kama pishi ya mchele.
 
Plateau timu nzima haijacheza mchezo wowote tangu mwezi wa 3 mbaka kuna wachezaji Wana vitambi Kama wabunge lakini bado wamecheza vizuri.
Vitambi vya kula ogbono soup, esiyebu, okra soup, nsala, abacha, gari, pounded yam e.t.c.
 
Alimpiga bench Kagere tukapiga kelele akamuingiza. Likapiga kazi likachumpa mpaka goli 4. Baada ya hapo akampiga tena, Rwanda wakamuita akapiga kazi mechi zote. Hivyo hivyo na kwa Nyoni, kocha wa stars akamuamini ,akapiga kazi nzuri na jana kila mtu kaona.Huyu kocha ndio mchawi wetu
Kweli asee.. Sisi Yanga tunasapoti Mumtimue huyo kocha anawaharibia timu.
 
Katika mechi ya Leo na matokeo yanayotafutwa ,aina maechi ,ubora wa Kagere na Boko ! ....nimeanza kuamini kuwa huyu kocha ana timanyongo na Meddie Kagere!
Povu ruksa!
Unajua hawa makocha wakiachiwa mamlaka yote wataharibu timu kbs anamsajili mtu yy hatakiwi alimwacha Deo kanda ma Shiboub akamwacha kahata kweli leo kaja pia kwa bwalya tusije shangaa anaenda yanga
 
Huyu kocha inawezekana anafanya kazi kwa maelekezo ya senzo sio Kagere hata Kahata hampendi Nyoni alikuja kumuumbua alipocheza dhidi Tunisia.
Kwa uwezo wake tukipita na platinum tushukuru pale hamna kocha ni wachezaji wanambeba .
Hivi Dilunga na Mzamiru wana nini cha ziada.
Inabidi siku washabiki tuamue uongozi wa Simba utambue thamani yetu.
Umenena kweli kbs
 
Binafsi baada ya kuona lisit niliomba tupoteze mechi ili aondoke Ila ss tunacheza round ya Kwanza tukipigwa atafukuzwa na uzuri tutashuka chini na tutapata kocha mwingine asiyembishi huyu nionavyo Mie anabebwa na vitu viwili tu
Mosi Simba ni Bora kulinganisha na timu zote tz
Pili timu zingine ni weak na hazina uwekezaji na matunzo ndio maana unaona yanga yuko pale
 
Alimpiga bench Kagere tukapiga kelele akamuingiza. Likapiga kazi likachumpa mpaka goli 4. Baada ya hapo akampiga tena, Rwanda wakamuita akapiga kazi mechi zote. Hivyo hivyo na kwa Nyoni, kocha wa stars akamuamini ,akapiga kazi nzuri na jana kila mtu kaona.Huyu kocha ndio mchawi wetu
Sven anapalilia njia ya kwenda kwao.
 
Wanaoshabikia Boko acheze ndio haohao wanaomlaumu Boko akiwa taifa stars ila Kagere akiamua kutoongeza mkataba Simba sitamlaumu ila nitalaumu uongozi kwa kuleta kocha asiyekuwa na viwango .
Hivi Kahata kwanini anakaa benchi anaua viwango vya wachezaji makusudi.
Na itatuchukua muda kupata striker wa aina yake
 
Back
Top Bottom