Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Bocco mzuri sema kocha kakosea kumpanga MzamiruKatika mechi ya Leo na matokeo yanayotafutwa ,aina maechi ,ubora wa Kagere na Boko ! ....nimeanza kuamini kuwa huyu kocha ana timanyongo na Meddie Kagere!
Povu ruksa!
Mkuu we ni shabiki wa simba japo nashangaa umeshindwa kugundua bocco ndiye chaguo la kwanza kwenye mfumo wa sven.. na hata kocha wenu amewahi zungumzia hiloHuo mfumo unamuitaji nani ?!
Plateau timu nzima haijacheza mchezo wowote tangu mwezi wa 3 mbaka kuna wachezaji Wana vitambi Kama wabunge lakini bado wamecheza vizuri.Kagere kumbuka alikua majeruhi na hajacheza mechi yoyote tokA arudi majeruhi
Yeah hawo ni makocha ambao hawapendi mchezaji mwenye sifa/uwezo mmojaMimi si shabiki wa Simba lakini mpenzi wa AFYA ya mpira wetu....
Hivi inawezekanaje kwa mfungaji bora mara mbili mfululizo anawekwa UBAO namna hii ?!!!
Yaani kuwe na Sintofahamu kati ya mchezaji mzuri na kocha wake bila ya kufikia SULUHISHO?!!
Kama Meddy yu mgonjwa,mbona hatujasikia?!!
Hivi Meddy angekuwa ana miaka 25...Simba wangemfanyia hayo anayokumbana nayo?!!!
Sitaki kuamini Sven amekuwa na "tabia" za Pep Guardiola......
Baadhi ya wachezaji wa simba wamecheza kwa presha sana..mfano mzamiru, mkude nakusababisha kupoteza mipira mingi.Plateau timu nzima haijacheza mchezo wowote tangu mwezi wa 3 mbaka kuna wachezaji Wana vitambi Kama wabunge lakini bado wamecheza vizuri.
Oya mkuuYeah hawo ni makocha ambao hawapendi mchezaji mwenye sifa/uwezo mmoja
Sijaipata ratiba..! ila atakutana na platnum ya zimbabwe.Oya mkuu
Simba atacheza nanan. Na tarehe ngapi na anaanzia hom au ugenn??
Sure....Yeah hawo ni makocha ambao hawapendi mchezaji mwenye sifa/uwezo mmoja
Ebana yule mchezaji wa Plateau ana "ndambi" kama mchoma nyama choma....loohBaadhi ya wachezaji wa simba wamecheza kwa presha sana..mfano mzamiru, mkude nakusababisha kupoteza mipira mingi.
mwisho: plateau ni wabovu kila sector ilipaswa wafungwe hata magoli 2+
Ndio hivyo shida kubwa kwa wachezaji..na wakala wa kagere ali panic kipindi fulani sijui kama atasaini dili jipya.. huku ilanfya anaomba atolewe kwa mkopo.Sure....
Changamoto kubwa kwa wachezaji kwani ubao unachujisha uwezo uwanjani....
Ha ha ha ha!Ebana yule mchezaji wa Plateau ana "ndambi" kama mchoma nyama choma....looh
Ha ha ha ha!Tangu lini shabiki akawa kocha!
Yaani watani mna "kashida" katika benchi lenu la ufundi...Embu ona wachezaji wana mavitambi wengine wanahema kama makuku matetea, tunashindwa kuwafunga, unamuingiza top scorer ligi dakika ya 90 hata aibu huna kama sio upuzi ni nini
Kwa hiyo ndio sub iwe dakika ya 90 kwa huyo striker eee?Mfumo wa sasa haumhitaji striker wa pili