Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Mbona hawashangai morrison kuanza benchi mbele ya dilungaKwa hiyo ndio sub iwe dakika ya 90 kwa huyo striker eee?
Well hoja ni kushangaa Meddy anachomeshwa Sana ubao...mbona hakuna rotation bora kwa huo mfumo wa striker mmoja?!!
Point kubwa sana.. wewe umemwelewa kocha wa simba.Mfumo wa sasa haumhitaji striker wa pili
🤣Mbona hawashangai morrison kuanza benchi mbele ya dilunga
mkude kushuka kiwango lakini lawama zote kwa mzamiru mtu mpambanaji timu ikiwa haina mpira..
Ha ha ha
basi imeisha makali🚮Anayo mbona bado
Tulia wewe Utopolo mwandamiziMalalamiko fc
We hujui mpira? Mbona kuelewa rahisi sanaKwa hiyo ndio sub iwe dakika ya 90 kwa huyo striker eee?
Well hoja ni kushangaa Meddy anachomeshwa Sana ubao...mbona hakuna rotation bora kwa huo mfumo wa striker mmoja?!!
Haijui Simba huyu, Sisi tunataka magoli na visasikocha si ashachapwa makofi na babu Kagere, so unafikiri nini!
Oya mkuu
Simba atacheza nanan. Na tarehe ngapi na anaanzia hom au ugenn??
Nimeuliza issue ya rotation unajibu kuelewa rahisi....We hujui mpira? Mbona kuelewa rahisi sana
Alimpiga bench Kagere tukapiga kelele akamuingiza. Likapiga kazi likachumpa mpaka goli 4. Baada ya hapo akampiga tena, Rwanda wakamuita akapiga kazi mechi zote. Hivyo hivyo na kwa Nyoni, kocha wa stars akamuamini ,akapiga kazi nzuri na jana kila mtu kaona.Huyu kocha ndio mchawi wetuInawezekana boko kamroga kocha labda kaona kagere harogeki ...sababu utanipa sababu ipi nyingine ambayo inamfanya asimuingize kagere na unaona wazi boko anacheza maboko tu uwanjani hamna kitu
mpira ni mchezo wa hadharani,hakuna cha technics wala nini. asepe hana kipyaMuacheni KOCHA afanye kazi yake.
Hatupangi kikosi kwa mapenzi.
Huyu kocha atakuwa anatumiwa na senzo kosa walilofanya simba ni kuacha kirusi chake wote tuliokuwa uwanjani tulikuwa tunapiga kelele amuingize Kagere badala yake akamwamsha Amne hivi goli moja unawezaje kulinda uongozi usipolifanyia kazi hata ubingwa tutausikia au washabiki tufanye maamuzi magumu tususie mechi uongozi washituke, mbinu hii iliwahi kutumiwa na mashabiki wa ac milan kipindi cha Beruscon na ikafanya kaziAlimpiga bench Kagere tukapiga kelele akamuingiza. Likapiga kazi likachumpa mpaka goli 4. Baada ya hapo akampiga tena, Rwanda wakamuita akapiga kazi mechi zote. Hivyo hivyo na kwa Nyoni, kocha wa stars akamuamini ,akapiga kazi nzuri na jana kila mtu kaona.Huyu kocha ndio mchawi wetu