VonKwa ule uso wa Mo jama baada ya mechi.....!! Jamaa aanze kufanya booking
Katika mechi ya Leo na matokeo yanayotafutwa ,aina maechi ,ubora wa Kagere na Boko ! ....nimeanza kuamini kuwa huyu kocha ana timanyongo na Meddie Kagere!
Povu ruksa!
Vitambi vya kula ogbono soup, esiyebu, okra soup, nsala, abacha, gari, pounded yam e.t.c.Plateau timu nzima haijacheza mchezo wowote tangu mwezi wa 3 mbaka kuna wachezaji Wana vitambi Kama wabunge lakini bado wamecheza vizuri.
Kweli asee.. Sisi Yanga tunasapoti Mumtimue huyo kocha anawaharibia timu.Alimpiga bench Kagere tukapiga kelele akamuingiza. Likapiga kazi likachumpa mpaka goli 4. Baada ya hapo akampiga tena, Rwanda wakamuita akapiga kazi mechi zote. Hivyo hivyo na kwa Nyoni, kocha wa stars akamuamini ,akapiga kazi nzuri na jana kila mtu kaona.Huyu kocha ndio mchawi wetu
Unajua hawa makocha wakiachiwa mamlaka yote wataharibu timu kbs anamsajili mtu yy hatakiwi alimwacha Deo kanda ma Shiboub akamwacha kahata kweli leo kaja pia kwa bwalya tusije shangaa anaenda yangaKatika mechi ya Leo na matokeo yanayotafutwa ,aina maechi ,ubora wa Kagere na Boko ! ....nimeanza kuamini kuwa huyu kocha ana timanyongo na Meddie Kagere!
Povu ruksa!
Amavumbi kachezea mechi mbili huku inasemwa eti injuriesKagere kumbuka alikua majeruhi na hajacheza mechi yoyote tokA arudi majeruhi
Umenena kweli kbsHuyu kocha inawezekana anafanya kazi kwa maelekezo ya senzo sio Kagere hata Kahata hampendi Nyoni alikuja kumuumbua alipocheza dhidi Tunisia.
Kwa uwezo wake tukipita na platinum tushukuru pale hamna kocha ni wachezaji wanambeba .
Hivi Dilunga na Mzamiru wana nini cha ziada.
Inabidi siku washabiki tuamue uongozi wa Simba utambue thamani yetu.
Haya kagere hatakiwi iweje uchezesha wachezaji walio flopy kbs mzamiru na Dilunga dk zote zile?Mfumo wa kocha haumuhitaji kagere..mbumbumbu hamjui mpira..hata kwa kitu cha wazi kabisa.
Kiungo gani anashinda mzamiru kukaba pale simba 😎Haya kagere hatakiwi iweje uchezesha wachezaji walio flopy kbs mzamiru na Dilunga dk zote zile?
Nyoni apige sita na mkude 8 na bado kuna bwalya si lazima u rely na ukabaji ila kuwa na mpira njia Bora zaidiKiungo gani anashinda mzamiru kukaba pale simba [emoji41]
Mbona mkude anapoteza mipira, mvivu kukaba lakini sijawahi sikia mkimsema..kweli mzamiru ana nyota ya kunguni..Nyoni apige sita na mkude 8 na bado kuna bwalya si lazima u rely na ukabaji ila kuwa na mpira njia Bora zaidi
Mikia buanaKatika mechi ya Leo na matokeo yanayotafutwa ,aina maechi ,ubora wa Kagere na Boko ! ....nimeanza kuamini kuwa huyu kocha ana timanyongo na Meddie Kagere!
Povu ruksa!
Sven anapalilia njia ya kwenda kwao.Alimpiga bench Kagere tukapiga kelele akamuingiza. Likapiga kazi likachumpa mpaka goli 4. Baada ya hapo akampiga tena, Rwanda wakamuita akapiga kazi mechi zote. Hivyo hivyo na kwa Nyoni, kocha wa stars akamuamini ,akapiga kazi nzuri na jana kila mtu kaona.Huyu kocha ndio mchawi wetu
Mkude ameshuka kiwango.. amekuwa mzito na kuzubaa uwanjani.Mbona mkude anapoteza mipira, mvivu kukaba lakini sijawahi sikia mkimsema..kweli mzamiru ana nyota ya kunguni..
Fc Platinum wameshikilia kibarua cha SVEN.. kiburi na Jeuri zake vitaikost Timu hasa kuhusu Kagere na Kahata kukaa benchimpira ni mchezo wa hadharani,hakuna cha technics wala nini. asepe hana kipya
Hata Kahata sio wakuwekwa benchi na DilungaMbona hawashangai morrison kuanza benchi mbele ya dilunga
mkude kushuka kiwango lakini lawama zote kwa mzamiru mtu mpambanaji timu ikiwa haina mpira..
Na itatuchukua muda kupata striker wa aina yakeWanaoshabikia Boko acheze ndio haohao wanaomlaumu Boko akiwa taifa stars ila Kagere akiamua kutoongeza mkataba Simba sitamlaumu ila nitalaumu uongozi kwa kuleta kocha asiyekuwa na viwango .
Hivi Kahata kwanini anakaa benchi anaua viwango vya wachezaji makusudi.