Sasa ni dhahiri kuwa CHADEMA si Mbowe, Dr. Slaa, Lissu wala Lema. CHADEMA ni imani na haitakufa kirahisi!

Chadema inafanywa kama ilivyofanywa CUF na hautokuja amini hizo iman kama zitaendelea kuwepo.
Chadema imeshapita hatua hizo. Mateso waliyopitia CUF haifiki hata asikimia tano ya mateso wanayopitia Chadema sasa hivi lakini ndiyo kwanza Chadema inazidi kujiimarisha mioyoni mwa Watanzania. Magufuli alipiga marufuku mikutano ya vyama vya upinzani akilenga kuimaliza Chadema na akaamini kuwa ameimaliza lakini kazi tuliyopiga kwenye operation Chadema Msingi hakuamini alipopewa taarifa na UWT kuwa tuliweza kusimamisha 95%ya wagombea kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa ndipo akaamua kuuvuruga uchaguzi huo. Na sasa Chadema Digital ndiyo inazidi kuonyesha kuwa Chadema inazidi kupaa licha ya kuporwa wabunge wote kwa mtutu wa bunduki kwenye uchaguzi mkuu uliopita.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sio wote ni wahuni kama ambavyo polepole anataka kuaminisha watu.
 
Mkuu, 'Tindo', msimamo wako naujua saana, na sikuwahi na hata sasa sikubaliani nao. Tunaweza kurudi nyuma na kuangalia tuliposimamia toka huko nyuma na kujiridhisha juu ya hili.
 
Mzee Tupa Tupa uko wapi mazee au bado upon moro
 
Huo ndio ukweli
 
Huna lolote kawadanganye watoto wenzio. Huna hiyo experience CHADEMA unauyoizungumzia haipo tena. We mwenyewe ni CHADEMA uliyekata tamaa
 
Hapo tu kwenye ukweli ndio ninapo kukubali mzee TupaTupa!Hilo la kubishana kwa hoja ccm wenzako hawaliwezi sababu hata midahalo tu kipindi cha uchaguzi wana kimbia.
Huyo ni chadema damu damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ