Sasa ni dhahiri kuwa Yanga waliupiga mwingi mwaka 2022, Simba haijafika kiwango kile cha Yanga

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,350
Reaction score
26,166
Pamoja na ukweli kuwa Yanga na Simba zote zimecheza fainali ya Kombe la Shirikisho, tena na timu za Afrika ya Kaskazini, Yanga inabaki kuwa na fainali bora kuliko Simba.

Yanga ilicheza fainali na USM Algier ya Algeria ikianzia nyumbani Benjamin Mkapa. Ikalala 2-1. Mchezo wa pili kule Algiers, Yanga iliibuka kwa ushindi wa 1-0.

Katika fainali hiyo, mabao manne yalifungwa na kila timu ilifunga mabao mawili. USM Algier walibeba kombe kwa kunufaika tu na bao la ugenini. Aggregate ilisoma 2-2!

Soma Pia: Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Mwaka huu Simba amecheza fainali na RS Berkane ya Morocco. Kule Berkane, Simba amezabwa mabao 2-0. Leo kule Amaan Zanzibar, amepata sare ya 1-1. Aggregate ikasoma 3-1.

Mwaka huu pia, yamefungwa mabao manne kwenye fainali. Kati ya hayo, Simba wamefunga moja tu. Na wamepigwa magoli matatu. Berkane hakuwa na haja ya kunufaika na bao la ugenini.

Hadi hapo, ni dhahiri kuwa Yanga waliupiga mwingi mwaka 2022. Si sawa na Simba. Simba wasijifananishe na Yanga kwenye performance.

Hatimaye, nchi imepoa!
 
Na Sisi hayakuwa malengo yetu kubeba kombe wakati Simba lengo Lao ni ubingwa
 
Unatakiwa uizungumzie Yanga ya mwaka huu, kama iliupiga kwenye makundi au la
 
Mkuu Ulipata Bahati ya kuangalia Mpira au Umesimuliwa ?
 
Alafu usisahau mwenyeji kapata shoot on target 1 tu akiwa nyumbani,,kule ugenini akupata ata Moja na ndio timu iliyokuwa inajimwambafai kubeba kombe sijui wangeliiba au namna Gani🤣
 
Naunga mkono hoja yako kweli kabisa
 
Simba kacheza fainali na Bigwa wa ligi ya morogoro ,we hujui??
 
Alafu usisahau mwenyeji kapata shoot on target 1 tu akiwa nyumbani,,kule ugenini akupata ata Moja na ndio timu iliyokuwa inajimwambafai kubeba kombe sijui wangeliiba au namna Gani🤣
1000284611.jpg
 
Back
Top Bottom