Sasa ni dhahiri kuwa Yanga waliupiga mwingi mwaka 2022, Simba haijafika kiwango kile cha Yanga

1000259082.jpg
 
Siyo fair kulinganisha wakati Berkane na USMA ni timu mbili tofauti na pia Simba imecheza mechi zake zote mbili za fainali ikiwa ugenini.
 
Shot on target ni nusu goli!..
Kwamba kama si kipa inakuwa goli!

Sasa mpira kugonga mwamba hata kama kipa hayupo inakuwaje goli?
1000253915.jpg

Umeamka sasa haya tuambie kombe la muungano mlipata bilioni ngapi?
 
Pamoja na ukweli kuwa Yanga na Simba zote zimecheza fainali ya Kombe la Shirikisho, tena na timu za Afrika ya Kaskazini, Yanga inabaki kuwa na fainali bora kuliko Simba.

Yanga ilicheza fainali na USM Algier ya Algeria ikianzia nyumbani Benjamin Mkapa. Ikalala 2-1. Mchezo wa pili kule Algiers, Yanga iliibuka kwa ushindi wa 1-0.

Katika fainali hiyo, mabao manne yalifungwa na kila timu ilifunga mabao mawili. USM Algier walibeba kombe kwa kunufaika tu na bao la ugenini. Aggregate ilisoma 2-2!

Soma Pia: Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Mwaka huu Simba amecheza fainali na RS Berkane ya Morocco. Kule Berkane, Simba amezabwa mabao 2-0. Leo kule Amaan Zanzibar, amepata sare ya 1-1. Aggregate ikasoma 3-1.

Mwaka huu pia, yamefungwa mabao manne kwenye fainali. Kati ya hayo, Simba wamefunga moja tu. Na wamepigwa magoli matatu. Berkane hakuwa na haja ya kunufaika na bao la ugenini.

Hadi hapo, ni dhahiri kuwa Yanga waliupiga mwingi mwaka 2022. Si sawa na Simba. Simba wasijifananishe na Yanga kwenye performance.

Hatimaye, nchi imepoa!
We Dingi mzima unafanya mlinganisho wa kijinga namna hii.

USM alger unailinganisha na RS berkane, Kweli?
 
Ukitaka kujua mtu ni timamu ama lah, basi kwenye mabishano ya simba na yanga 😂🤣😂

Hivi usm algier msimu ule alimaliza ligi ya kwao nafasi ya ngapi!? Na huyu berkane kamaliza wa ngapi?

Simba red card imemponza pia.
 
On target iyo ni yakwako unajua maana ya on target? Kwaiyo wewe ni mtaalam zaidi kuliko rekodi za Azam tv? Umepagawa eti
Hujaelewa nini nilichoandika? Wewe umesema tuna on target 1 na kule kwao hatukuwa na on target hivyo tungepataje ushindi?

Nimekuambia hivi shuti kugonga mwamba au mlingoti au mpira kupita juu ya lango kama leo hii attempt ya kapombe hizo zote sio shot on target lakini ni attempt za kupata magoli. Ndio maana nimekuambia ni ukilaza kuangalia tu shot on target wakati kuna attempt ambazo sio shot on target ambazo zinakuwa karibu na kupata magoli.

Kwa hiyo uwe unaangalia na idadi ya attempt na sio hiyo tu shot on target uliyokariri.
 
Shot on target ni nusu goli!..
Kwamba kama si kipa inakuwa goli!

Sasa mpira kugonga mwamba hata kama kipa hayupo inakuwaje goli?
Tuliza akili uelewe vizuri. Shot on target ni attempt lakini sio kila attempt ni shot on target. Kwa hiyo kuona kama timu ilishambulia au la usiishie tu kuangalia shot on target bali angalia kwa ujumla attempt ni ngapi. Nimewapa mfano kichwa cha kapombe au Camara wa berkane hutaona kwenye rekodi kama ni shot on target lakini ni attempt za hatari.
 
Usiwe na akili za kushikiwa,,unajua timu alizokutana nazo Simba mpaka fainali zote zilikuwa famba? Akuna timu ata Moja ilishuka kutoka klabu bingwa kuja kucheza shirikisho msimu huu,,kwa maana iyo zilibaki zile timu mbovu mbovu tu zipambane zenyewe,,usilinganishe na yanga timu zilizokuwa zinashindwa kule klabu bingwa zilikuwa zinakuja kucheza shirikisho kwaiyo yanga ilikuwa inakutana na mabingwa wa nchi zao wengi tu
Acha kubwabwaja wewe huo msimu mlicheza na bingwa wa ligi gani au unataka tulete hapa timu zote mlizocheza nazo na nafasi walizokuwepo kwenye ligi zao, kama kuna timu mliyocheza nayo ambayo ilikuwa bingwa kwenye ligi yao basi ni zile ligi dhaifu kwa hapa africa sasa mfano ligi ya nigeria au mali nayo ni ya kusema ukicheza na mabingwa wao ujisifie kweli, halafu kumbuka hawa rs berkane ni wazoefu kwenye hii michuano na tayari walikuwa na makombe mawili ya cafcc na hili la tatu ila ninyi wale usm alger walikuwa hawajawahi kuchukua lile kombe ndio walilipatia kwenu kwa mara ya kwanza
 
Pamoja na ukweli kuwa Yanga na Simba zote zimecheza fainali ya Kombe la Shirikisho, tena na timu za Afrika ya Kaskazini, Yanga inabaki kuwa na fainali bora kuliko Simba.

Yanga ilicheza fainali na USM Algier ya Algeria ikianzia nyumbani Benjamin Mkapa. Ikalala 2-1. Mchezo wa pili kule Algiers, Yanga iliibuka kwa ushindi wa 1-0.

Katika fainali hiyo, mabao manne yalifungwa na kila timu ilifunga mabao mawili. USM Algier walibeba kombe kwa kunufaika tu na bao la ugenini. Aggregate ilisoma 2-2!

Soma Pia: Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

Mwaka huu Simba amecheza fainali na RS Berkane ya Morocco. Kule Berkane, Simba amezabwa mabao 2-0. Leo kule Amaan Zanzibar, amepata sare ya 1-1. Aggregate ikasoma 3-1.

Mwaka huu pia, yamefungwa mabao manne kwenye fainali. Kati ya hayo, Simba wamefunga moja tu. Na wamepigwa magoli matatu. Berkane hakuwa na haja ya kunufaika na bao la ugenini.

Hadi hapo, ni dhahiri kuwa Yanga waliupiga mwingi mwaka 2022. Si sawa na Simba. Simba wasijifananishe na Yanga kwenye performance.

Hatimaye, nchi imepoa!
Ni 2023 sio 2022.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Makelele SC.
5. Malalamiko/Lia lia SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau/Mapaka SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mwakarobo SC.
11. Mbeleko/Bebwa bebwa SC.
12. Manguruwe SC.
13. Miso Misonda SC.
14. Mikia SC.
15. Mbuzi SC.
16. Zuwena SC.
17. Khamsa Khamsa/5imba SC.
18. Kufa Kiume SC.
19. Kikanuni SC.
20. Bahasha SC.
21. Ngada SC.
22. Kolowizards SC.
23. Kamdomo SC.
Screenshot_2025-05-18-12-05-22-14_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg
 
Back
Top Bottom